Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

Ibrahim mwenyewe alikua ni monotheist, watu wake kama Baba, majirani etc Waliabudu miungu tofauti na ndio maana Ibrahim akaletwa kama mtume kuwaongoza kwenye njia ilio sahihi, Ibrahim ndio baba wa Monotheist sababu kizazi chake ndio kimeleta dini zote na Kuzalisha wachamungu Dunia nzima. Hata kabla Hajakuja Mtume Muhammad (S.A.W) dini ya Hanafi ilikuwepo Arabia kwa maelfu ya miaka ambayo pia ni Monotheist religion toka Kwa Ibrahim.
Unajua Ibrahim alimuabudu MUNGU yupi?
 
Back
Top Bottom