G
guest-1790917349
Guest
Mungu ni cheo ,Mungu Yuko mmoja tu ,hao wengine ni miungu mkuuKwa ivo unataka kusema neno "Mungu" ni jina la sifa ya Mungu lakini siyo sifa ya Mungu mmoja huyo huyo kwa wote?
Mungu ni cheo ,Mungu Yuko mmoja tu ,hao wengine ni miungu mkuuKwa ivo unataka kusema neno "Mungu" ni jina la sifa ya Mungu lakini siyo sifa ya Mungu mmoja huyo huyo kwa wote?
Wanaabudu "miungu" sio MunguKwahy watu wanaoabudu sanamu au ng'ombe au miti hapo hawaabudu Mungu?
Kipi kinatumika kama kigezo cha kuamua kuwa huyu ni Mungu na hii mingine ni miungu?Mungu ni cheo ,Mungu Yuko mmoja tu ,hao wengine ni miungu mkuu
Mm nafikiri Allah pia ni mmoja kati ya miungu. Ona maagizo yake kwa WaislamuMungu ni cheo ,Mungu Yuko mmoja tu ,hao wengine ni miungu mkuu
Mungu n nn na miungu n nnWanaabudu "miungu" sio Mungu
Ni tofauti mkuu
Hapana. Kuna miungu mingi ila Mungu wa kweli ni mmoja tu. Naye ndiye aliyeshuka kutoka mbinguni akachukuwa mwili kama sisi ili atusaidie. Ndiye Yesu Kristo. Mwanadamu yeyote anayetaka kumhua Mungu wa kweli hana budi kupitia kwa Yesu Kristo ambaye ndiye Njia Kweli na Uzima. Kinyume chake ni kupotea njia.Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Mm nafikiri Allah pia ni mmoja kati ya miungu. Ona maagizo yake kwa Waislamu
The beauty of islam
View: https://x.com/MrNationalistJJ/status/1903534113925296501
Kulingana na mafundisho ya kikristo na kiislamu kila dini inamwongelea Mungu wake tofauti. Sijui sana kuhusu izo imani zingine ulizozitajaNimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
According to what sasa Abrahamic Religion, Budha, Chinese folks, Hinduism etc sababu mimi kukupa definition moja ina maana hujaelewa chochote nilicho elezea.Haya nambie Mungu n nn
Wabongo bhana 😂 unajibu swali kwa kuuliza swali 🙌According to what sasa Abrahamic Religion, Budha, Chinese folks, Hinduism etc sababu mimi kukupa definition moja ina maana hujaelewa chochote nilicho elezea.
Wewe ndo umeuliza swali toka kwenye jibu, jibu langu nimeshatoa mwanzo Mungu hana definition moja, kila kundi la dini lina definition yake ya Mungu, kutaka kuforce kuwe na definition moja ni tatizo lako wewe na sio tatizo la definition ya Mungu.Wabongo bhana 😂 unajibu swali kwa kuuliza swali 🙌
Inatofautiana Sana tu...Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Mungu hawezi kuwa mmoja, huwez kunikuta naabudu ng'ombe au mti afu useme siabudu Mungu.Wewe ndo umeuliza swali toka kwenye jibu, jibu langu nimeshatoa mwanzo Mungu hana definition moja, kila kundi la dini lina definition yake ya Mungu, kutaka kuforce kuwe na definition moja ni tatizo lako wewe na sio tatizo la definition ya Mungu.
Ndio maana sisi tunatumia Abrahamic Religion tunatumia neno Allah (Almighty God) kuonesha kwamba Mungu tunayemzungumzia ni mmoja, na sio Mungu wa dini nyengine.
Kweli kabisa huyu Mungu siyo yule yule kwa kila Dini. Mfano kaallah kanavyo muagiza muhamadi kuandika vituko kama hiki hapa chini, kweli unaweza sema ni kaallah ni Mungu yule yule wa Biblia? HapanaMungu hawezi kuwa mmoja, huwez kunikuta naabudu ng'ombe au mti afu useme siabudu Mungu.
Mungu wa Waislamu yeye ana concepts zake za ajabu ajabu. Mfano ona concept yake ya ParadisoNimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?
Hujasoma Agano la kale vizuri"Exodus 22:28 says"You shall not revile the gods",, Ibrahim na watu wake wa kale kama wew n msomi mzur walikuwa n polytheists na ushahidi upo kwenye Biblia Agano la kaleNature ya Dini yenyewe ilivyo shuka ni Monotheist, kwenye Ukristo concept ya miungu mita tu ilikuja karne 3 baada ya kuondoka Yesu. Ndio maana unakuta Wakristo wa Zamani kama Newton walikua Monotheist na walipinga Concept ya Athanasius, scholars wengi wa kikristo pia huwa wanakubali hili. So dini sio tatizo, tatizo ni kile wanachomezeshwa waumini.
MUNGU ni cheo?,kama ilivyo Marais ,Kuna Marais wengi,na kila rais ana watu wake,kwa hiyo Kuna miungu ,na kila jumuiya kwa asili ina Mungu wake.soma Agano la kale vizur,mungu wa Ibrahim n El ,na Mungu wa Musa ni Jehova,na Yakobo alikutana na Mungu wake kule Bethel ,alipoenda kwa Laban yule mungu akamtokea ndotoni akamwambia "mm n yule mungu wa Bethel"Mungu ni cheo ,Mungu Yuko mmoja tu ,hao wengine ni miungu mkuu
Ibrahim mwenyewe alikua ni monotheist, watu wake kama Baba, majirani etc Waliabudu miungu tofauti na ndio maana Ibrahim akaletwa kama mtume kuwaongoza kwenye njia ilio sahihi, Ibrahim ndio baba wa Monotheist sababu kizazi chake ndio kimeleta dini zote na Kuzalisha wachamungu Dunia nzima. Hata kabla Hajakuja Mtume Muhammad (S.A.W) dini ya Hanafi ilikuwepo Arabia kwa maelfu ya miaka ambayo pia ni Monotheist religion toka Kwa Ibrahim.Hujasoma Agano la kale vizuri"Exodus 22:28 says"You shall not revile the gods",, Ibrahim na watu wake wa kale kama wew n msomi mzur walikuwa n polytheists na ushahidi upo kwenye Biblia Agano la kale
Mungu unayetakiwa kumuamini ni aliyekuumba wewe na ulimwengu, hakuna kitu kingine kinastahili utukufu wa namna hiyo zaidi ya Muumbaji wako. Kama Mungu wako hana hizi sifa unaabudu sanamu tu.Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao inatofautiana?