Asante but this is out of context and you know it 😅LUKA 19:40 - "Nawaambia kwamba hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele"
By choosing understanding over judgment, listening over condemnation, and respect over fear, we foster harmony among all faiths
NB: EMBRACE TOLERANCE
Milele Amina.Nipasi nguo mapema, kanisani Misa ya matawi. Tumsifu Yesu kristo
Asante umeelezea vizuri kabisa. Nilikuwa mlokole hivyo haya unayoyaelezea nayaelewa kabisa lakini katika ulokole wangu hiki kipengele cha kusali kwa kelele kilikuwa sikipendi kabisa, kabisa. Why shout?Naomba nikujibu. I declare mimi siyo mlokole ila najua details nyingi sana za hayo mambo. In fact walokole ibada yao haijajikita kwenye kusoma biblia na kumwelewa Mungu. Badala yake Ibada zao zimejikita katika kuamsha hisia (to arouse emotions). Yaani mtu anakujaza upepo kitu ambacho ukitumia akili vizuri kufikiria huwezi kukubaliana nacho, ila unatengenezewa muamsho wa kihisia ambazo ili ukubaliane nazo lazima uwezo wako wa kuchambua mambo uushushe kwanza alafu upandishe uwezo wa emotions zaidi. Imagine kwenye maombi mtu unaambiwa pokea gari, pokea nyumba, pokea ajira n.k. na wewe unajua kabisa hujafanya chochote ili hilo gari ulipate. Akili yenye kufikiria inakuambia je utaliokota? Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya fedha. Lakini kwa sababu ya emotions unaaminishwa kwamba unapokea kimiujiza. Na hapo hapo unaaminishwa utoe sadaka ili upokee huo muujiza. Huyo anayekujaza upepo huo anataka sadaka yako ili akanunue gari ila wewe anakuambia utapokea muujiza.
Jibu hoja punguza mihemko. Isitoshe kuhusu Waislam, huwa wanafanya adhana kuwakumbusha waumini muda wa ibada lakini ibada zao hazina kelele kabisa. Hata Wakatoliki na Waluteri husikii kelele za kukwazaIssue yako ilikuwa ni Makelele huko kupayukapayuka umetoa wapi? Au kwako wewe kupiga kelele ndiyo kupayuka?. Pia umesema Ibada zinaanza saa mbili asubuhi Mpaka saa sita Usiku, Sijui hao watu wanne wa familia moja wanakula saa ngapi au wewe unawapelekea chakula?. Na Kelele za spika kwenye Misikiti wewe hizo huzisikii? na mungu wao yeye ana masikio kwa sababu wanapiga kelele za kiarabu?
Wakatoliki wanajua wafanyalo, huwezi kumuomba Mungu kama unamfokea. Kama Baba mzazi tu huwezi kumuomba pesa au hitaji lolote kwa kupayuka je inakuwaje kwa Mungu? Wakatoliki nawaelewa, hawa wengine sijui huo mtindo wa kupayuka waliutoa wapi!!!???Wakatoliki huwa hatuna makelele! Hata kwenye mahubiri yetu (homilia) huwezi kumkuta Katekista/ Shemasi/Padre/Askofu ametokwa na mishipa ya shingo, macho yamemtoka, na mate yamejaa mdomoni; huku akipiga makelele [emoji2788][emoji441] pepoo tookaa! Mbengo zemefongoka! Sharaghabar tashasha! [emoji16]
Zaburi 100:1LUKA 19:40 - "Nawaambia kwamba hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele"
By choosing understanding over judgment, listening over condemnation, and respect over fear, we foster harmony among all faiths
NB: EMBRACE TOLERANCE
Mchungaji kasema, mie nani nipingee
Swala swala swala...Jibu hoja punguza mihemko. Isitoshe kuhusu Waislam, huwa wanafanya adhana kuwakumbusha waumini muda wa ibada lakini ibada zao hazina kelele kabisa. Hata Wakatoliki na Waluteri husikii kelele za kukwaza
Neno Ulokole /Walokole ni neno rasmi, hutumiwa na waamini wa makanisa ya wokovu na hujiita walokole yaani waliookolewa.Kwanza fahamu hakuna kitu kinaitwa mungu wa walokole na neno walokole si neno rasmi bali ni kejeli na mzaha tu kwa watu waliojitenga na uovu. Kuna kalele za shangwe, kuna kuomba kwa kupaza sauti ni namna tu ya kufanya ibada. Mbona hushangai adhana kwenye loud speaker?
Mbingu ya saba ndio imeandikwa kwenye maandiko gani?Imani yetu "sisi" wapiga mayowe ni kwamba,Mungu yupo mbali mnoo.Hivyo inabidi tupaze sauti zetu ili zifike mbingu ya Saba.Ameeen?
Shangwe ni nini?Zaburi 100:1
[1]Mfanyieni BWANA shangwe, dunia yote;
(A Psalm of praise.) Make a joyful noise unto the LORD, all ye lands.
Kelele. Soma hiyo tafsiri ya Kingereza hujaona neno noises?Shangwe ni nini?
Tusubiri majibu
Wewe ndiyo Una mihemko kuamini Horn-Speaker misikiti si tatizo bali speaker makanisani ni tatizo. Na si kweli kuwa horn-speaker ni adhana tu kuwakumbusha waislamu. Ningekuelewa sana kama ungeona vyote ni keleleJibu hoja punguza mihemko. Isitoshe kuhusu Waislam, huwa wanafanya adhana kuwakumbusha waumini muda wa ibada lakini ibada zao hazina kelele kabisa. Hata Wakatoliki na Waluteri husikii kelele za kukwaza
Halafu wale wavaao mashati ya vitenge ndio wale waendao kitafuta mademu kanisani.La kuvaa jumapili, saresare na mamaa
sa kama waumini hawatoi sadaka ya kutosha unataka afanyaje?asiseme?
Najibu kutokana na heading, sijasoma content ndani.Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.