Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

Mwanaume ndiye mwenye majukumu ya kugharamia mahitaji ya mke,watoto na familia kwa ujumla.
Majukumu ya mke ni kumtii mumewe na kumheshimu katika mambo halali,kumpa mapenzi na msaada wa kihisia pamoja na kulea watoto.
 
Vema.
 
Kulingana na sh
Eria iliyopo nchini na taasisi binafsi nyingi zinazotetea haki za binadamu zinampambania sana mwanamke kuwa awe na haki sawa na mwanaume,

Naaminisha hivi

πŸ‘‰Mwanamke anapaswa achangia asilimi sawa ndani ya ndoa kama mwanaume anatoa asilimia 60k ya matumizi mwanamke atoe 50k au 60k ilikuwepo na usawa na kuepuka unyonyaji.
πŸ‘‰Mwanamke anapaswa atafte kazi ya kufanya hata kama n kibarua ili awe na uwezo wa kumudu kununua nguo zake za ndani kama chupi, sindilia, lotion zake cyo kila kitu unamtegemea mume utamfanya mume uchoke haraka hata kupelekea kufa mapema,
πŸ‘‰Swala la kuchukulia eti mke anaangalia familia ni Big no kna wakat mwanaume unakuta mtoto anaumwa lakin mama hajui unaanza kuhangaika kumpeleka hospital, swala la kuangalia familia na la wanandoa wote.
πŸ‘‰ kulingana na maelezo ya point za juu ikitokea wamekosana ndo wagawane mali au kuuza nyumba kwa usawa.

Tofauti na hapo kama mwanamke
hachangii chochote ndani ya ndoa Atakufanye ufe kabla ya wakati, Atatumia nguvu nyingi kutafta pesa, kumnunulia nguo za ndani, lotion, mara akucheat, mara akwambie mtoto cyo wako na atataka muachane mgawane mali ulizotmia nguvu nyingi kuzitafta na ndo utaziona taasisi na madawat ya jinsia ya kikupgia kelele hakika utachanganyikiwa.
Kwa dunia ya sasa kwenye ndoa wote tuchangie, kutafta pesa , Mwanamke asiwe mtu wa kulala na kula na kunya

Hii ni according to me Na wewe njoo na mawazo yako ya ushawishi nawasilisha πŸ™
 
Kila familia ina njia yake ya kugawa majukumu na kipato. Sio kila mwanamke anayefanya kazi anapuuzia watoto wake, na si kila mwanaume anayetoa asilimia 100 ya kipato anahisi kunyonywa. Kila wanandoa wanapaswa kukubaliana jinsi wanavyoshirikiana kulingana na hali yao ya maisha. Muhimu ni mawasiliano, usawa, na kuhakikisha wote wawili wanajisikia kuthaminiwa katika mchango wao kwa familia.
 
Mwanaume ndiye mwenye majukumu ya kugharamia mahitaji ya mke,watoto na familia kwa ujumla.
Majukumu ya mke ni kumtii mumewe na kumheshimu katika mambo halali,kumpa mapenzi na msaada wa kihisia pamoja na kulea watoto.
Ni Sawa pale mwanamke asipokuwa na kipato lakini akiwa na kipato anapaswa achangie.
 
Uwajibikaji wa pamoja"total football" Kwa asilimia zote!!yaani defender hushambulia mpira wa Kona kama striker na pia striker ana husika ku defend ndio maana ya mwili mmoja we mwanamke!!

MWILI MMOJA MAANA YAKE UWAJIBIKAJI WA PAMOJA NA SIO NUSU NUSU!!

WEWE KAMA NI MWILI NA KICHWA NI MUMEO NA MWILI UMEBEBA KICHWA UTAJITENGAJE KWENYE UWAJIBIKAJI!!?

KIZAZI CHENU HIKI CHA UBINAFSI NDIO KIMEUA NDOA ZA LEO!!

RUDI KWENYE MISINGI!
 
Marriage is a 90% financial decision. Ambaye hayuko tayari kwa hayo maamuzi ya kifedha hatakiwi kuolewa wala kuoa katika hii karne.
 
Sio kila kipato cha mke au mume lazima kitumike moja kwa moja kwenye gharama za familia. Kinachojalisha ni namna wanandoa wanavyokubaliana kugawanya majukumu yao kifedha. Kama mume anahisi mke wake hatumii pesa zake kwa familia, basi badala ya kulazimisha, ni muhimu kuwa na mazungumzo ya wazi ili kufikia muafaka unaowaridhisha wote wawili. Ndoa ni ushirikiano, si ushindani wa nani anatoa nini.
 
Mwanaume ndiye mwenye majukumu ya kugharamia mahitaji ya mke,watoto na familia kwa ujumla.
Majukumu ya mke ni kumtii mumewe na kumheshimu katika mambo halali,kumpa mapenzi na msaada wa kihisia pamoja na kulea watoto.
Mitazamo kama yako ndio imeua ndoa!!uwajibikaji was pamoja ndio msingi mkuu!!kuheshimiana kupendana ,kutunza watoto ndio msingi mkuu wa ndoa!!

Usije kuweka utengano kwenye majukumu ya ndani ,labda Yale ya kimaumbile kama uongozi na mtazamo wa mbali na kujipanga!!!
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
Sawa bhana!!!
 
50/50 ni kuhusu ushirikiano na msaada. Huwezi kupima mchango wa ndoa kwa kiwango cha kifedha tu. Usawa wa ndoa unahusisha kujitolea, kuelewana na kusaidiana kwa njia nyingi, na siyo tu kwa michango ya pesa.
Nadhani wanachohitaji wanawake ni uwezeshwaji (empowerment) na si 50/50 kama wanavyomaanisha; kwa sababu 50)50 ni ngumu kuitekeleza. Chunguza utapata majibu.
 
Tofauti ipo tena kubwa. Thats why nikasema anao uwezo wa kufanya kila kitu. Na ni mara chache anakwama...hapo naweza kusaidia na kama nitashindwa atatafuta means afanye..hizo.sio shida zangu. Kila familia ina taratibu zake..hiyo haina tatizo ni mipango yenu.
 
Na ww ni muumini wa fifty fifty?
Si suala la 50/50 kwa lazima, bali ni juu ya kila wanandoa kukubaliana kulingana na hali yao. Kama nitatoa mchango, ni kwa hiari, si kwa kulazimishwa. Kila ndoa ni tofauti, na cha muhimu ni maelewano na uwazi kuhusu majukumu ya kifamilia.
 
Naona Una demu humu JF na unajaribu kumfurahisha ili asikuone bahiliπŸ˜πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
Sawa endelea kumnyonya mkeo🀣🀣🀣
 
Bibie sasa tumeelewana.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!
Sawa bhana!!!
Kinachowachanganya wanawake na wanaume wenzangu was kileo ni pesa tu kushika hatamu!

Enzi hizo pesa haikua deal kama leo wote walichunga ngombe,wote wakalima,wote wakaenda kuuza pamba na mazao yao na kupata kipato,wote wakazaa watoto,wote wakapendana sana na Baba akategemewa kama mwamuzi mkuu wa familia na kiongozi na mama kama mbeba maono ya baba na kuwa mstari wa mbele. Kufanyia kazi maono ya baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…