Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

Jiepushe na Matapeli mkuu
 
hehhehehehehe nachka kama mazuri vile, ila Mungu anaweza yote
 
hivi gari inaweza kutembea kama ikitolewa mataili na engine
 
May be....
 
tutolee upumbavu hapa
 
Ngoja tuamini huu ushuhuda....... 😅
 
Mwamposa na fyongo zake.
 
Chai
 
Imani sio Biology mkuu...Mungu ni muweza sana kama Sarah katika umri ya kikongwe alipata mimba ambapo kwa biologia ya kawaida haiwezekani...Mungu huweza kurudisha na kurepair kila kitu
 
Naomba maelezo juu Ya vitafunwa vya kutumia na chai hii,
Ni vitumbua au sambusa ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…