Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Nifike 30 Mara ngapi?jeuri hiyo utakuwa nayo kama umri wako ni chini ya 30......vinginevyo utasalimu amri maana utazeekea nyumbani
Hujakamatika!!Nifike 30 Mara ngapi?
Aheri nizeekee nyumbani kuliko kumpa mwanaume pesa ya mahari yangu.
Mwanaume nitampa pesa nyingine yoyote ila si ya mahari
mate upo weweMie nasoma tu comments[emoji3][emoji3]
mate upo wewe
Niko poaNipo mate, hujambo?
Kwa kweli hela ya mume ni tamu sana na zawadi za mume ni nzuriIliwahi chambuliwa kibiblia kuwa mwanamke kujitolea mahari wewe mwenyewe siyo sahihi hata kidogo !
Tena ndoa za hivyo wengi wameishia majuto !
Mwanaume anakuwa tegemezi hakununulii hata chup.
Mwanamke hata kama unafanyakazi nzuri unaingiza hela nyingi lakini hela ya mume nayo inautamu wake!
Nipo nimejaa tele, nafurahi kukuonaNiko poa
Siku mingi sijakutia machoni!
Mmefurahi kukuona;
Mie nasoma tu comments[emoji3][emoji3]
Juzi uliiniita wapi?[emoji134].Hujakamatika!!
Juzi nakuita uje kula pilau huonekani
Ni nini kujificha lakini
Dada yangu watu walioa kwa kondoo tu,tena dingi alikuwa anataka Bible tu!!shemeji hakuwa na kitu kabisa ila ndo hivyo dada yangu alikuwa ameoza amekufa kabisa!!ndo ilifungwa vizuri tu!! Ila baada ya ndoa
1.shemeji pesa ilikuja kama mvua dili zake zilikubali sana.
2.dada yangu hakuna rangi aliacha kuona kwa maana jamaa aliona kama vild sisters hata kwao kama vile hawa mthamini vile kisa tu mahari alilipa kidogo!!
3.kidume wa kweli hawezi pokea pesa ya mwanamke kwenda kulipa mahari kwa sababu hiyo inaondoa dhana ya kutoa shukrani mahari ni kama asante kwa wazazi wa yule binti unayetaka kumuoa ,so hata kitenge na kanzu tu inatosha.kwa maana huna uwezo wakuwalipa gharama walizotumia wazazi kwa binti yao!!
Punguza, ubahili[emoji125][emoji125]Yani nijioe!
Punguza, ubahili[emoji125][emoji125]
Kwa kweli hela ya mume ni tamu sana na zawadi za mume ni nzuri
Wazeee si ndio wamefanya chanzo cha capital? Sikuhizi.Sio ubahiri bhana mahari ni zawadi kwa mzazi itolewayo na mwanaume sasa mimi nahusikaje kuitoa bora tuishi tu bila hiyo mahari kutolewa sasa.
Wapo wengi wanaofanya hivyo lkn kwa mzazi anaejitambua hawezi kumfanya mtoto wake kuwa capital.Wazeee si ndio wamefanya chanzo cha capital? Sikuhizi.