Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah ila hawa wazee wetu wa kiafrika bana duh.Mzee alifanya uwekezaji. Ni wakati wake sasa kupata Return On Investment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah ila hawa wazee wetu wa kiafrika bana duh.Mzee alifanya uwekezaji. Ni wakati wake sasa kupata Return On Investment.
Hahahahah, nyie si hamtaki mtu ambaye kapuku au hohe hahe. Wenye hela za wazi ni hao vigogo.Mbona si ngumu hata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mstaafu nampeleka wapi mzee wa watu mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unashindwa kutofautisha kuwa Kuna mapenzi na Kuna udangaji.
Ntakusaidia kunegotiate dear, watapokea tuu ,kuliko nikuhonge mahari Mimi arrgh lete tu hao bata bana[emoji3] [emoji3]Hali tete babe, kama watapokea hata bata wawili sema nilete[emoji3][emoji3]
Inatisha.Hapana Mungu aniepushie mbali laana ya kujioa....atakama anakidogo ni bora atoe icho icho maana mahari haimalizwi kuliko nitomboke tu million twangu nkajioe kwetu hapana....
Najua wazazi watanishirikisha binti yao kwenye kupanga hiyo mahari, na ndyo ntawaambia husband to be hana pesa mingi, ana kuku tu wapokee hivo hivoo[emoji3]Alete hata kuku ? Mahari unapanga wewe au wazazi ?
Kumbe ushawahi kupenda hivyoo hadi ukaoza kabisaa naona umesisitiza kwa experience
Mtumishi Anne ye ndo anajifanya Van damme au Arnold shwazniger wa mapenzi haya bana
Huoni kuwa watapata mashaka juu ya huko anakoenda kuolewa binti yao ? Seriously eti unawaambia ana kuku ? Si Bora tu useme Hana kitu.Najua wazazi watanishirikisha binti yao kwenye kupanga hiyo mahari, na ndyo ntawaambia husband to be hana pesa mingi, ana kuku tu wapokee hivo hivoo[emoji3]
It's true kutakua na mashaka but hata kuwaambia "hana kitu" bado mashaka yatakuwepo tu, mi nadhani watoe Baraka tu Kwa chochote kitakacholetwa or not ,hayo mashaka yatakua cleared baadaye ,mtapopata dough,hata mbuyu ulianza kama mchicha banaaHuoni kuwa watapata mashaka juu ya huko anakoenda kuolewa binti yao ? Seriously eti unawaambia ana kuku ? Si Bora tu useme Hana kitu.
Well said.It's true kutakua na mashaka but hata kuwaambia "hana kitu" bado mashaka yatakuwepo tu, mi nadhani watoe Baraka tu Kwa chochote kitakacholetwa or not ,hayo mashaka yatakua cleared baadaye ,mtapopata dough,hata mbuyu ulianza kama mchicha banaa
Ndiyo ukae hapo utombeke wenzio wanaolewa unawaona..!Siwezi kufanya huo upuuzi ata siku moja...hiyo tu tuko kwenye uchumba afu aniambie tufungue mradi fulani kakope nami nikope siwezi...sembuse kumlipia mahari? Looooh [emoji50][emoji50]
Utakuwa lichagga weweHeee sio kwenye pesa nyingi kiasi iko...ata mahali sitaki aniambie apunguziwe...iyo iyo aliyotajiwa agangamale alipe
Hawa wanao ongea nawajua km watatu under 20 wengi hawajui bado nyege zinawavuruga hawafikiri ipasavyoKwa kuangalia replies zote naona jinsi gan watu hamjawahi kupenda na kama mmependa bas hamkupendwa kwa kiasi kilekile. Mbona unatoa kama kweli mnapendana.. sio kama unampenda ila kama mnapendana. Mfano kuna watu wanatoa figo itashindkana pesa ambayo unapata nyingine.
Kwa hiyo wanataka ROI wazee wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee alifanya uwekezaji. Ni wakati wake sasa kupata Return On Investment.
Tuongee ukweli,hujaolewa,umri unazidi kusonga tuseme umeshafikisha miaka 38+ na wanaume waliopita kwako sio chini ya 10 na wote wameonyesha hawana mpango na wewe,halafu unampata mwanaume anakupenda anakuambia yuko tayari kukuoa ila hela ya mahari hana, mnasubiri mwaka hali bado ni tete hela haipatikani na wewe account yako inasoma si chini ya 30mil,utaacha kumpa hiyo mahari ili uokoe jahazi!Bora umsaidie mwanaume matumizi mengine yoyote pale anapokwama na Kuna ulazima wa kumsaidia,kuliko ujinga wa kumpa hela ya mahari.
Mahari inatakiwa asipewe hata na baba yake,maana anaoa yeye.
Nilishasema pale juu kwamba hata ningekuwa na pesa za kumwaga,siwezi kumpa mwanaume hela ya mahariTuongee ukweli,hujaolewa,umri unazidi kusonga tuseme umeshafikisha miaka 38+ na wanaume waliopita kwako sio chini ya 10 na wote wameonyesha hawana mpango na wewe,halafu unampata mwanaume anakupenda anakuambia yuko tayari kukuoa ila hela ya mahari hana, mnasubiri mwaka hali bado ni tete hela haipatikani na wewe account yako inasoma si chini ya 30mil,utaacha kumpa hiyo mahari ili uokoe jahazi!