Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

Sasa una miaka 22 umenza kujitwisha mizigo yote hiyo, utazeeka vibaya mkuu.
Wenzio tuna 30 years na hatuna mambo mengi hivyo.

[emoji16] nmeishia kusoma aliposema ana miaka 22 nikasema huyu bado hajajua kuwa hajui.
 
Kabla ujao/kuolewa tambua kuwa kwenye ndoa hakuna darasa la kubadiri tabia bali ndipo kuna kumwendelezo wa tabia na kuonesha zile tabia alizokuwa anazificha
 
Usiyape mahusiano kipaumbele sana katika umri huo mdogo wangu. Yatakutesa sana kama sio kukuua kabisa.

Katika huo umri ndio ushauri unaingilia sikio la kushoto na kutokea la kulia(ngumu sana kukubali ushauri/kushaurika mpaka uumie sana).

Binti wa miaka 19 ndio kwanza kwake kunakucha, kwenye umri huo binti anaweza ata dharau wazazi kisa wanaume wanaomjaza kiburi ndio itakuwa wewe?
 
Sasa una miaka 22 umenza kujitwisha mizigo yote hiyo, utazeeka vibaya mkuu.
Wenzio tuna 30 years na hatuna mambo mengi hivyo.
Ni kweli aisee,iyo miaka 22 kweli uteseke ivo,Hivi watoto mbona mnakimbilia sana izo ndoa.
 
achana nae, tafuta hela

ila usimuache muongezee mileage za kutosha uku ukivaa ndom then mteme for good
 
19 years anakula ujana mwenzio.. ala!!

Msubiri afike 25 hivi nawewe 30 hivi.. ndipo mtaongea kitu kimoja na kusikilizana.. yaani namaanisha AKIKUA ATAACHA ila akifika 25 tabia zilezile, ruksa kuachana naye
 
Pole,nadhani pia umri na kiwango cha elimu vinaweza kuwa ndiyo shida,wala siyo yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…