Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ukiwa mkubwa utaacha kudharauliwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa namna umeandika hapo, wewe ndie unamakosa. Huyo binti hana shida yoyote, yupo sawa kwa namna kaumbwa ila wewe ndie una matatizo.Jambo ndugu zangu,
Nahitaji msaada wenu.
Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu.
Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa hanisikilizi. Kila nikimwambia sitaki kitu fulani nikione kwako utakuta tunabebana, kama atakubali yaani ni kwa mbinde kabisa na tena baada ya siku fulani kupita utakuta tena ulicho mkataza ndicho anachokifanya.
Na mara nyingine utakuta anaongea na mimi kwa sauti kubwa; hata ukimwambia mwanaume hafokewi yeye huwa hajali hata kidogo. Na ukizidisha kumwambia kuhusiana na kuongeya kwako uta kuta ana ni jibu ndo maana sipendagi kuongea na wewe.
Yeye ndo rafiki wa wanaume utakuta mwanaume akimwambia njoo twende huku anakubali, anapokuwa yeye ndipo wanaume walipo kuwa na matani nao ya kugusana gusana. Hata nikimwambia aache tabia hiyo utakuta najibiwa "jiamini"
Yeye ndo mtu wa kupost picha na video za kijinga kwenye status za Messenger na WhatsApp utakuta amepost picha mara anapiga kiss mara anatoa ulimi nje mara anaimba, mara anabinuwa matako yake.
Nikimshauri naambiwa mimi ndo nina wivu.
Mwanaume akimsimamisha hata kama yuko na mimi utakuta anasimama na akiombwa namba anatoa bila tatizo.
Sasa huyo mtoto wa kike nimeshafunga naye ndoa. Kulingana na mila zetu sisi hufunga kwanza ndoa halafu mke utaenda kuchukua siku ya kwenda kuweka mali.
- Ni muongo sana
- Anapenda mauzo sana
- Ana dharau watu wengine mpaka na mimi
- Ana kiburi
- Hujiona mrembo na mara nyingi husema hawezi kosa soko yeye ni mrembo
Sasa hapo ndipo nina maswali. Je, mwanamke wa hivi kweli anaweza badirika katika ndoa au pesa zangu niziwekeze kwenye mambo mengine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa mkubwa utaacha kudharauliwa....
Yani kivulana miaka 22 tu kinataka kitoe amri kiheshimiwe kama mwanaume, biashara ya wapi hii...!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usioee mzgo mzee utakufaJambo ndugu zangu,
Nahitaji msaada wenu.
Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu.
Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa hanisikilizi. Kila nikimwambia sitaki kitu fulani nikione kwako utakuta tunabebana, kama atakubali yaani ni kwa mbinde kabisa na tena baada ya siku fulani kupita utakuta tena ulicho mkataza ndicho anachokifanya.
Na mara nyingine utakuta anaongea na mimi kwa sauti kubwa; hata ukimwambia mwanaume hafokewi yeye huwa hajali hata kidogo. Na ukizidisha kumwambia kuhusiana na kuongeya kwako uta kuta ana ni jibu ndo maana sipendagi kuongea na wewe.
Yeye ndo rafiki wa wanaume utakuta mwanaume akimwambia njoo twende huku anakubali, anapokuwa yeye ndipo wanaume walipo kuwa na matani nao ya kugusana gusana. Hata nikimwambia aache tabia hiyo utakuta najibiwa "jiamini"
Yeye ndo mtu wa kupost picha na video za kijinga kwenye status za Messenger na WhatsApp utakuta amepost picha mara anapiga kiss mara anatoa ulimi nje mara anaimba, mara anabinuwa matako yake.
Nikimshauri naambiwa mimi ndo nina wivu.
Mwanaume akimsimamisha hata kama yuko na mimi utakuta anasimama na akiombwa namba anatoa bila tatizo.
Sasa huyo mtoto wa kike nimeshafunga naye ndoa. Kulingana na mila zetu sisi hufunga kwanza ndoa halafu mke utaenda kuchukua siku ya kwenda kuweka mali.
- Ni muongo sana
- Anapenda mauzo sana
- Ana dharau watu wengine mpaka na mimi
- Ana kiburi
- Hujiona mrembo na mara nyingi husema hawezi kosa soko yeye ni mrembo
Sasa hapo ndipo nina maswali. Je, mwanamke wa hivi kweli anaweza badirika katika ndoa au pesa zangu niziwekeze kwenye mambo mengine?
Miaka 22 unawaza ndoa Me? Anyways kila mtu na mipango yake.
Umeshakula huyo mpenzi wako? Yaani umeshafanya naye ngono?
Unapesa kiasi gani benk?huo ni umri mdogo sana,kujitwisha majukumu ya mke,wewe sasa hv unatakiwa uwe unawagonga akina "paula"na kusepa hakuna kuangalia nyuma,just hit and run,tafuta mchumba ukifikisha 35.Jambo ndugu zangu,
Nahitaji msaada wenu.
Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu.
Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa hanisikilizi. Kila nikimwambia sitaki kitu fulani nikione kwako utakuta tunabebana, kama atakubali yaani ni kwa mbinde kabisa na tena baada ya siku fulani kupita utakuta tena ulicho mkataza ndicho anachokifanya.
Na mara nyingine utakuta anaongea na mimi kwa sauti kubwa; hata ukimwambia mwanaume hafokewi yeye huwa hajali hata kidogo. Na ukizidisha kumwambia kuhusiana na kuongeya kwako uta kuta ana ni jibu ndo maana sipendagi kuongea na wewe.
Yeye ndo rafiki wa wanaume utakuta mwanaume akimwambia njoo twende huku anakubali, anapokuwa yeye ndipo wanaume walipo kuwa na matani nao ya kugusana gusana. Hata nikimwambia aache tabia hiyo utakuta najibiwa "jiamini"
Yeye ndo mtu wa kupost picha na video za kijinga kwenye status za Messenger na WhatsApp utakuta amepost picha mara anapiga kiss mara anatoa ulimi nje mara anaimba, mara anabinuwa matako yake.
Nikimshauri naambiwa mimi ndo nina wivu.
Mwanaume akimsimamisha hata kama yuko na mimi utakuta anasimama na akiombwa namba anatoa bila tatizo.
Sasa huyo mtoto wa kike nimeshafunga naye ndoa. Kulingana na mila zetu sisi hufunga kwanza ndoa halafu mke utaenda kuchukua siku ya kwenda kuweka mali.
- Ni muongo sana
- Anapenda mauzo sana
- Ana dharau watu wengine mpaka na mimi
- Ana kiburi
- Hujiona mrembo na mara nyingi husema hawezi kosa soko yeye ni mrembo
Sasa hapo ndipo nina maswali. Je, mwanamke wa hivi kweli anaweza badirika katika ndoa au pesa zangu niziwekeze kwenye mambo mengine?
Bora uoe na utulie maradhi kibao sikuhizi.Bro na penda ngono saana
True!!, piga chini ibaki storyNina miaka 26 ila suala la Kuoa nalikimbia kama Ukomaaaa sababu mwanamke huwezi jua tabia zake halisi mpaka Uishi nae kama miezi 6 hivi mfululizo na Ukimuoa ndo utajua tabia mbaya zake zotee...!! Kwa umri wa miaka 22 ni UPUUZI kuanza kufikiria kumuoa maana hata wewe unaongozwa na Mihemko bado na yeye hajitambui kabisaaa.. mimi hata kwenye Mahusiano demu wangu akiwa na mazoea ya hivyo na wanaume nasema imeisha hiyoo
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kivulana miaka 22 tu kinataka kitoe amri kiheshimiwe kama mwanaume, biashara ya wapi hii...!!!!
Kwa ufupi sana huna pesaJambo ndugu zangu,