Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

Nina miaka 26 ila suala la Kuoa nalikimbia kama Ukomaaaa sababu mwanamke huwezi jua tabia zake halisi mpaka Uishi nae kama miezi 6 hivi mfululizo na Ukimuoa ndo utajua tabia mbaya zake zotee...!! Kwa umri wa miaka 22 ni UPUUZI kuanza kufikiria kumuoa maana hata wewe unaongozwa na Mihemko bado na yeye hajitambui kabisaaa.. mimi hata kwenye Mahusiano demu wangu akiwa na mazoea ya hivyo na wanaume nasema imeisha hiyoo

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu Hapa mbona kama unatunchanga kuna nyuzi ukituambia umeoa na una mke kwenye ule uzi wako pendwa ule ww kule ulituambia unamke rikiboy tukueleweje
 
Piga chini dogo, tatizo mnapenda wauza sura kuwa wake!! Huyo sio wife material. We kula sepa kivyako.
Jambo ndugu zangu,

Nahitaji msaada wenu.

Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu.

Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa hanisikilizi. Kila nikimwambia sitaki kitu fulani nikione kwako utakuta tunabebana, kama atakubali yaani ni kwa mbinde kabisa na tena baada ya siku fulani kupita utakuta tena ulicho mkataza ndicho anachokifanya.

Na mara nyingine utakuta anaongea na mimi kwa sauti kubwa; hata ukimwambia mwanaume hafokewi yeye huwa hajali hata kidogo. Na ukizidisha kumwambia kuhusiana na kuongeya kwako uta kuta ana ni jibu ndo maana sipendagi kuongea na wewe.

Yeye ndo rafiki wa wanaume utakuta mwanaume akimwambia njoo twende huku anakubali, anapokuwa yeye ndipo wanaume walipo kuwa na matani nao ya kugusana gusana. Hata nikimwambia aache tabia hiyo utakuta najibiwa "jiamini"

Yeye ndo mtu wa kupost picha na video za kijinga kwenye status za Messenger na WhatsApp utakuta amepost picha mara anapiga kiss mara anatoa ulimi nje mara anaimba, mara anabinuwa matako yake.

Nikimshauri naambiwa mimi ndo nina wivu.

Mwanaume akimsimamisha hata kama yuko na mimi utakuta anasimama na akiombwa namba anatoa bila tatizo.
  • Ni muongo sana
  • Anapenda mauzo sana
  • Ana dharau watu wengine mpaka na mimi
  • Ana kiburi
  • Hujiona mrembo na mara nyingi husema hawezi kosa soko yeye ni mrembo
Sasa huyo mtoto wa kike nimeshafunga naye ndoa. Kulingana na mila zetu sisi hufunga kwanza ndoa halafu mke utaenda kuchukua siku ya kwenda kuweka mali.

Sasa hapo ndipo nina maswali. Je, mwanamke wa hivi kweli anaweza badirika katika ndoa au pesa zangu niziwekeze kwenye mambo mengine?
 
Mkuu Hapa mbona kama unatunchanga kuna nyuzi ukituambia umeoa na una mke kwenye ule uzi wako pendwa ule ww kule ulituambia unamke rikiboy tukueleweje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka wanasema nimeoa kisa naishi na mwanamke eti...!! Ila bado[emoji23] au wee unasemaje???

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Bado upo nae! Usimwache mfanye awe mchepuko chukua mwngne wapo wengi
 
Jambo ndugu zangu,

Nahitaji msaada wenu.

Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu.

Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa hanisikilizi. Kila nikimwambia sitaki kitu fulani nikione kwako utakuta tunabebana, kama atakubali yaani ni kwa mbinde kabisa na tena baada ya siku fulani kupita utakuta tena ulicho mkataza ndicho anachokifanya.

Na mara nyingine utakuta anaongea na mimi kwa sauti kubwa; hata ukimwambia mwanaume hafokewi yeye huwa hajali hata kidogo. Na ukizidisha kumwambia kuhusiana na kuongeya kwako uta kuta ana ni jibu ndo maana sipendagi kuongea na wewe.

Yeye ndo rafiki wa wanaume utakuta mwanaume akimwambia njoo twende huku anakubali, anapokuwa yeye ndipo wanaume walipo kuwa na matani nao ya kugusana gusana. Hata nikimwambia aache tabia hiyo utakuta najibiwa "jiamini"

Yeye ndo mtu wa kupost picha na video za kijinga kwenye status za Messenger na WhatsApp utakuta amepost picha mara anapiga kiss mara anatoa ulimi nje mara anaimba, mara anabinuwa matako yake.

Nikimshauri naambiwa mimi ndo nina wivu.

Mwanaume akimsimamisha hata kama yuko na mimi utakuta anasimama na akiombwa namba anatoa bila tatizo.
  • Ni muongo sana
  • Anapenda mauzo sana
  • Ana dharau watu wengine mpaka na mimi
  • Ana kiburi
  • Hujiona mrembo na mara nyingi husema hawezi kosa soko yeye ni mrembo
Sasa huyo mtoto wa kike nimeshafunga naye ndoa. Kulingana na mila zetu sisi hufunga kwanza ndoa halafu mke utaenda kuchukua siku ya kwenda kuweka mali.

Sasa hapo ndipo nina maswali. Je, mwanamke wa hivi kweli anaweza badirika katika ndoa au pesa zangu niziwekeze kwenye mambo mengine?
TATIZO UMRI .
 
Roho za marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani Amina!!!!!!!!!!
 
Nimecheka sana aiseee yani ni kama nisingepata hata muda wa kuandika hapa jf maana ninempiga3 chini kwanza then ndo nije kuandika hapa3 jukwaani
 
bado hujawa - MWANAUME... dogo ponda raha kwanza...huyo kuku wa mdondo atakufia ghafla....tafuta money, ankara pesa......na ndio wakati wa kupiga PULI kama rambo...............kama una vipesa vya mavuno unafikiria kuoa ni ujanja......utajuta.......hako hata utamu wa ukuni hakajui.....kimbiza life ukikaribia 30 ndo uanze mjadala.........
 
Mdogo wangu toa malengo kwa huyo demu, Kama mbususu analeta sasambua tu...kwanini uteseke na mapenzi kwa umri huo....jipe muda kuhusu issue ya kuoa maake kwa huyo mtu wako Ni Kama umebeti na kibaya zaidi umempa yanga na anacheza na Liverpool
 
Back
Top Bottom