Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

Hana sifa za kuolewa huyo
 
Kazi kweli kweli una twenty two umeanza ndoto za kuoa ukifika forty si utakosa cha kufanya?
 
Kuishi na mwanamke kunahitaji akili nyingi sana, nyie bado umri wenu ni mdogo sana kuweza kuvumilia vimbwanga vya ndoa.. huyo "mkeo" atakupa presha tu alafu ufe huku vijana wa mjini wakijilia mzigo kiulaini.
 
22 bado sana mdogo fikiri mahusiano kuanzia 27.....sasa hv jieke vzr kiuchumi
 
Tulia dogo haraka za nini? Kwa sasa kikubwa kwako ni kupata uzoefu wa kula papuchi tofauti tofauti.
 
Anamfundisha kuwa mke mwema
Mwache mtoto mwenzao akue, hata hajamaliza usichana wake vizuri unamuwazia ndoa. Ndo kipindi chache cha kujishebedua.

Na wewe katafute hela ili baadae uweze kutunza familia, kwa umri huo umejaa ubabe mwingi sijui ukikua utakuwaje.
 
Bro mimi sio mtanzania kwa iyo kiswahili kwangu najuwa kuongeya tu kama nilivyo funzwa ila kuandika uko sijui sasa sijui nini ni andike ili kieleweke vizuri
Kumbe sio mbongo ndio maana wameweza kukuuzia mbuzi kwenye gunia huku bongo ngumu sana kumfanyia hivyo mtu pasipo limbwata
 
Kama anayo chura komaa nae, nikimnukuu sheik kipoozeo
 
Unatoa wapi pesa kijana mdogo ivo. Unaweza kuwa na Kama milioni 80 kwenye stoku yako? mana hapo ndo tunaweza kuongea lugha moja.

Pesa ni nayo bro na ishi uku canada kwa iyo nikiwa TZ na weza jiita tajiri maana mshara wangu kwa shilling za kitanzania kwa muezi napokeaga milioni 4 na zaidi
 
Mabest wa kiume huwatafuna sana hawa vidada, hivyo usijeshangaa miongoni mwa hao marafiki zake kuna wanaomkula.

Huyo dem wako atakuja kubadirika atakapokuwa mkubwa lakini kwasasa utaendelea kupata hayo maumivu hata ukimuoa.

Bado una umri mdogo ,tengeneza maisha kwanza. Dem wako endelea kumtumia lakini mtoe kwenye malengo ya ndoa. ( ukijafika 25/26yrs utaanza kumwona amezeeka wakati huo kuna vibinti vibichi vinachipuka na wewe akili itakuwa imekomaa kuhusu ndoa)
 
Mnatarajia kufunga ndoa, mara mshafunga ndoa kimila.. story yako haina ukweli wowote pia miaka 22 wewe mtoto wa Shule / Chuo so soma Stori za kutunga acha.
 
Hela ninayo ndugu yangu
Acha haraka kijana bado hujawa na akili uwezo na utambuzi wa kuishi na mtu atakutesa akili utaona mapenzi machungu ngoja ufike 25 miaka utapata kidgo anayeendana nawe uyo humuwezi Ata akifika 23 hutamuweza
 
Pesa ni nayo bro na ishi uku canada kwa iyo nikiwa TZ na weza jiita tajiri maana mshara wangu kwa shilling za kitanzania kwa muezi napokeaga milioni 4 na zaidi
Sawaa bwana mdogo, next month ntakuwa hapo Toronto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…