Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

Umeshakula huyo mpenzi wako? Yaani umeshafanya naye ngono?
 
Pambana tu, ndio uanaume huo.
 
Kwa namna umeandika hapo, wewe ndie unamakosa. Huyo binti hana shida yoyote, yupo sawa kwa namna kaumbwa ila wewe ndie una matatizo.

Kwasababu mtu ambaye yupo sawa kiakili na anatumia ubongo kufiriki asingekuja hapa na uzi akilalamika na kumlalamikia mtu ambaye ameshakuonyesha wazi hakuhitaji sasa wewe unatafuta nini hapo kwenye eneo lake?!
 
Usioee mzgo mzee utakufa
 
Hapo kinachofwata ni ngumi zisizo na malipo 😝😝😝 maana wanaume tunapenda kutawala na heshima iwepo
 
Jiandae kumfulia chupi huyo🤩 kama uliwahi sikia nyimbo ya bushoke “mume bwege” basi yule bwege ndio wewe!
 
Mdogo wangu hapo umepotea. Achana nae huyo atakuumiza akili.
 
Miaka 22 unawaza ndoa Me? Anyways kila mtu na mipango yake.
 
Unapesa kiasi gani benk?huo ni umri mdogo sana,kujitwisha majukumu ya mke,wewe sasa hv unatakiwa uwe unawagonga akina "paula"na kusepa hakuna kuangalia nyuma,just hit and run,tafuta mchumba ukifikisha 35.
Huyo awezi badirika,labda itokee miujiza.
 
Nina miaka 26 ila suala la Kuoa nalikimbia kama Ukomaaaa sababu mwanamke huwezi jua tabia zake halisi mpaka Uishi nae kama miezi 6 hivi mfululizo na Ukimuoa ndo utajua tabia mbaya zake zotee...!! Kwa umri wa miaka 22 ni UPUUZI kuanza kufikiria kumuoa maana hata wewe unaongozwa na Mihemko bado na yeye hajitambui kabisaaa.. mimi hata kwenye Mahusiano demu wangu akiwa na mazoea ya hivyo na wanaume nasema imeisha hiyoo

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
True!!, piga chini ibaki story
 
Kwa ufupi sana huna pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…