Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Jiulize kwa nini wanatumia nguvu kubwa kukanusha??

Mbona hawakutumia nguvu kubwa kwa Michael Jackson, Mike Tyson etc.
 
Mwezini kwenye jangwa la texas
Maana bendera ilikuwa inapepea
Siamini kwa kweli kuwa walifika
Ila ipo siku bei zitashuka na mimi ntakata ticket
 
Russia nao hawakua nyuma hii ilikua mwaka 2015
 
Ubongo wa binadamu hauna uwezo wa kuyafanya haya yote.
Ni msaada wa beings nyingine toka kwenye universe nyingine..
In Short kuna viumbe vingine ukiachana na sisi.
Haya ni mawazo yako au ni vitu vyenye kutambulika?
 
Kwani mwezi ni gimba moja tu ulimwengu mzima? Mbona tunaambiwa dunia ina miezi 12, hii idadi maana yake nini??? Sayari zingine tunaambiwa zina miezi 9, n.k. ufafanuzi hapo...me nafikiri miezi ni magimba mengi tu kama zilivyo nyota au sayari
Unaongelea months na sio moon.
 
Hayo ni maswali magumu, tujadilini wote tuyajibu coz ndo tayari ajenda iko mbele yetu.
Kuna mambo mengi wenzetu huko kwao wanayajadili kila siku sisi hatujui kitu. Kwa wasomi wengi tu hapa Tanzania hawaelewi kitu juu ya Aliens, Sasa nikifikiria kuwa, Mambo haya yamewasumbua Wamarekani wayback 1947's Roswell UFO accident, utashangaa tulivyoachwa.
 
dah wanadai vitabu vya dini yao vimesema kuwa watu hawatofika kwenye mwezi, hio ndio sababu inayomfanya asiamin kawa watu walifika kwenye mwezi.....kaazi kwelikweli hapo, ndio yaleyale ya jua kuzama kwe matope kuna mdau alileta uzi hapa
Mnanipa raha sana wazee, dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…