Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Ukijaribu kupitia vyanzo mbali mbali vya wailsamu wenyewe wamekanusha kwamba Armstrong hakubadili dini na kama alibadili hakuna reliable source inayoonyesha kwamba alibadili dini. Wenyewe wanasema ni fabricated stories to make the religion famous. Zaidi soma hapa
Is the story that the astronaut Neil Armstrong became Muslim true? - islamqa.info
Na pia mtandao mwingine wa waislamu wa answering-islam wameongea the same thing
View attachment 818033View attachment 818034View attachment 818035
Pia katika mtandao wa wikipedia nao wanasema
Jiulize kwa nini wanatumia nguvu kubwa kukanusha??

Mbona hawakutumia nguvu kubwa kwa Michael Jackson, Mike Tyson etc.
 
Mwezini kwenye jangwa la texas
Maana bendera ilikuwa inapepea
Siamini kwa kweli kuwa walifika
Ila ipo siku bei zitashuka na mimi ntakata ticket
 
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzane
Russia nao hawakua nyuma hii ilikua mwaka 2015
Screenshot_2018-07-25-01-54-57.jpg
 
Ubongo wa binadamu hauna uwezo wa kuyafanya haya yote.
Ni msaada wa beings nyingine toka kwenye universe nyingine..
In Short kuna viumbe vingine ukiachana na sisi.
Haya ni mawazo yako au ni vitu vyenye kutambulika?
 
Kwani mwezi ni gimba moja tu ulimwengu mzima? Mbona tunaambiwa dunia ina miezi 12, hii idadi maana yake nini??? Sayari zingine tunaambiwa zina miezi 9, n.k. ufafanuzi hapo...me nafikiri miezi ni magimba mengi tu kama zilivyo nyota au sayari
Unaongelea months na sio moon.
 
nakubaliana na ww ila tatizo moja linalokuja bwana kwe mijadala kama hii ni pale ambako mnajadili from scientific point of view halafu mkamix na mythology, supernatural powers discussion huwa inakuwa ngumu sana aisee maana kuna kuwa na vitu vingi ambavyo ni ngumu kuviprove, mfano km mtu anasema mwezi huu ni artificial sattelite mi ningeweza hoji imewezaje kuzunguka miaka yote hio around the earth wakati haina fuel yoyote ile tofauti na sattelite ze2 ambazo zinaznguruka huko juu? ila kama kuna supernatural powers hapo siwez bisha maana hazionekan so hujui kama zipo au la na kwa mantiki hio alichokileta mtoa uzi itakuwa sawa
Hayo ni maswali magumu, tujadilini wote tuyajibu coz ndo tayari ajenda iko mbele yetu.
Kuna mambo mengi wenzetu huko kwao wanayajadili kila siku sisi hatujui kitu. Kwa wasomi wengi tu hapa Tanzania hawaelewi kitu juu ya Aliens, Sasa nikifikiria kuwa, Mambo haya yamewasumbua Wamarekani wayback 1947's Roswell UFO accident, utashangaa tulivyoachwa.
 
dah wanadai vitabu vya dini yao vimesema kuwa watu hawatofika kwenye mwezi, hio ndio sababu inayomfanya asiamin kawa watu walifika kwenye mwezi.....kaazi kwelikweli hapo, ndio yaleyale ya jua kuzama kwe matope kuna mdau alileta uzi hapa
Mnanipa raha sana wazee, dah!!
 
Back
Top Bottom