Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

damn true..
 
Umejibu kifizikia zaidi.

Hapo mtu itabidi atafute gravity mwezini, ukubwa wa bendera, material yake, uzito wake, jinsi ilivyofungwa,na jinsi uhusiano wa vyote hivyo utakavyofanya bendera ifanye.
Marekani!
ni kweli mkuu sa unafikiri utalezaje issue ya ile bendera kuonekana vile? some basic understanding kwe pysics sometime inahitajika kwakweli
 
"Watu wanagalaxy" ndo uthibitisho wa uwepo wa Mungu kutokuwepo?
"Uwepo wa Mungu kutokuwepo" ndiyo dubwana gani hilo?

Mungu ni nini? Unaposema Mungu unamaanisha nini?

Kuna watu wanaamini Beyonve Knowles ni Mungu. Kwao. Beyonce Knowles yupo au hayupo?
 
"Uwepo wa Mungu kutokuwepo" ndiyo dubwana gani hilo?

Mungu ni nini? Unaposema Mungu unamaanisha nini?

Kuna watu wanaamini Beyonve Knowles ni Mungu. Kwao. Beyonce Knowles yupo au hayupo?
Unauliza Mungu ni nini? Mungu ni roho.

Namaanisha Mungu ni roho.

Nani ana amini Beyonce ni mungu? Unadhani sifa za kitu kuwa mungu ni zipi?

Je Wewe unaweza kuwa mungu?
 
meeeen your geniuz at least among many african your head is not empty , this war is not about mazungu vs waafrica its about who have vs who doesn't
 
meeeen your geniuz at least among many african your head is not empty , this war is not about mazungu vs waafrica its about who have vs who doesn't
Ndiyo maana kuna wazungu mpaka leo wanakuja Afrika, wanasaini mikataba ya kuibia nchi za Waafrika, wanasaini na "ndugu zetu" viongozi wa Afrika, wanawakatia cha juu.

Sisi tunabaki tumeumizwa.

Halafu huko Ulaya, kuna watu kama kima Clare Short, viongozi wa Ulaya, wanatuonesha wananchi wa Africa jinsi serikali zetu zinavyofuja fedha za walipakodi kwa madili ya ajabu kama BAE, mpaka BAE anarudisha hela serikali ya Tanzania.

Sasa hapo ukija kichwakichwa na habari za "Wazungu vs Waafrika" utawapaka rangi nzuri viongozi wetu waliotuuza, kwa sababu ni weusi wenzetu, halafu utamsema vibaya Mama Clare Short, kwa sababu mzungu.

Bila kuangalia mchezo mzima ulivyochezwa.

Huyu Mama ilitakiwa Dar es salaam mtaa mmoja upewe jina lake kwa heshima aliyoifanya kupigania hela ya Tanzania irudishwe, mpaka ikarudishwa. Yani mama mzungu kapandisha kisirani dhidi ya serikali yake ya Uingereza, hataki ujinga, mpaka katoka uwaziri. Kawa mzalendo on principle Tanzania irudishiwe hela kuliko viongozi wa Tanzania wenyewe.

Mama kaichamba serikali yake mwenyewe ya Uingereza, ambayo alikuwa Waziri, na uwaziri akaachia, kwa kisa cha serikali yake ku support deal chafu kati ya BAE na serikali ya Tanzania.

Leo hii watoto wanaokua wangapi wanamjua Clare Short? Huyu mama ni "a profile in courage" katika kuonesha ni vipi kiongozi anatakiwa kusimamia haki bila kujali manufaa ya wizi anapata nani.

Ukinipa simplistic narrative kwamba "wazungu wabaya" na Clare Short ni mmoja wa wazungu hao, kimantiki, nitaanzaje kukubali hiyo simplistic narrative?

Clare Short | BAE's government-backed rip-off

BAE's government-backed rip-off
Clare Short

Despite my opposition, BAE won a contract that milked Tanzania of millions. Let it now answer the charge of the bribery
Thu 1 Oct 2009 13.30 EDT First published on Thu 1 Oct 2009 13.30 EDT


The decision of the Serious Fraud Office to recommend prosecution of BAE Systems is to be welcomed. Britain's record in implementing the international convention that makes it illegal to offer a bribe to a public official abroad has been very weak. And I know from my involvement as international development secretary in one of the four cases where the SFO is recommending prosecution, the sale of an air traffic control system to Tanzania, that the record of BAE looks very grubby indeed.
I bumped into this saga in 2000 when we were proposing a big increase in aid to Tanzania in order to help fund universal, free primary education. One of the Department for International Development officials then informed me that an old proposal for the sale of a military air traffic control system, which had been blocked many years earlier, had re-emerged. The old proposal had been divided by BAE into two phases in order to make it appear cheaper.

My problem was that the increased aid would end up paying the BAE bill. Tanzania had recently received debt relief and one of the conditions was that it would not borrow money except on concessional terms such as those available from the development banks. Yet this project was to be funded by a loan from Barclays bank, which claimed to be concessional. Since Barclays is a commercial company, it did not seem credible that they would offer loans below market prices. The suspicion was that they had simply inflated the price and then pretended the loan was concessional.
The local representative of the World Bank therefore asked the International Civil Aviation Organisation to report on the project. The report said that the system was very old technology and was military, not civil. Tanzania had no use for such a system. It did need better civil air traffic control to improve tourism. A loan was available from the European Investment Bank to install a state-of-the-art system for Tanzania and its two neighbours that cost less than half the BAE system.

Read more

At that stage, there was no evidence of bribery but it seemed obvious to me that such a lousy deal could only be explained by corruption. Later, the Guardian exposed evidence of the bribe.

I did all I could to get the government to refuse an export licence. New Labour came to power on a commitment to tighten up on arms sales. Robin Cook had therefore negotiated an EU-wide deal that banned the sale of equipment that threatened aggression, repression or sustainable development. Clearly, this proposal threatened the development of Tanzania, which is one of the poorest countries in the world. My case was strong, but Tony Blair supported BAE, as always, and other ministers would not stand up to him. To our shame, the export licence was granted.

The evidence in this case must be aired in court. BAE must be prosecuted and then an inquiry held to ensure that no future British government supports dirty deals of the type that I am convinced this was.
 
Last edited:
Unauliza Mungu ni nini? Mungu ni roho.

Namaanisha Mungu ni roho.

Nani ana amini Beyonce ni mungu? Unadhani sifa za kitu kuwa mungu ni zipi?

Je Wewe unaweza kuwa mungu?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Unaweza kuthibitisha roho ipo?

Nani anamini Beyonce ni Mungu? Somahapa Beyonce Inspired Religion: 'The National Church of Bey' Opens in Georgia with Hundreds in Attendance to 'Worship The Sanctity of Mother Bey' (VIDEO)

Mimisiamini na sikubali habari za kuwepo Mungu, nimekwambia hapo juu, unaniuliza sifa za kitu kuwa Mungu, hilo swali wewe uniulize mimi nisiyeamini Mungu au mimi nikuulize wewe unayeamini Mungu?

Unaposema Munguni roho, wewe una roho? Kama unayo, wewe ni Mungu?
 
Naona hatukuelewana kwenye kiingereza, nimetumia neno glimpse siyo kwa purpose ya kuona bali kufika. Nitakushangaa pamoja na yote niliyoandika humu wewe unifundishe kuwa galaxy fulani inaonekana. Kwako unaona ni kitu cha ku-focus ila hukujifikiria kwa nini nimeweka distance kuwa kikwazo cha kuzifikia hizo galaxies - maana yake nafahamu vyema sayari na galaxy iliyofahamika tangu enzi za Greek Civilisation. Mtu akikwambia alimwashia taa kwenye mashindano, utaelewa kuwa kweli alimwashia taa? Usifanye vitu simple kuvilazimisha kuwa complex. Wala usidhani kuwa, sina uelewa na ninavyoongea. Ndo maana nilisema ni Conspiracy Theory, probably hujui maana yake, ndio maana umekazania fact ambazo kila mtu anazijua. Am interested with the new approaches, not merely traditional ones which had been in use since the Enlightenment Period.
Wenzako tunasumbukia kuona namna Theory zilizo-define Sayansi (Gravity), pamoja na Philosophy (Reality), zinavyokosolewa, Wewe umekomalia copy and paste za madarasa tuliyokwisha maliza zamani.
 
Ndiyo maana nikasema niandike Kiswahili kwa uwazi zaidi.

Kwa sababu umetumia neno "glimpse", linalomaanisha kuona, kwa kumaanisha kufika.



Hata mimi niliona kimantiki huenda una matumizi mabaya ya maneno ya Kiingereza, ngoja nikuondoe kwenye Kiingereza ambako unanichanganyachanganya ukiandika "glimpse" sielewi unamaanisha kuona au kufika, nikusogeze kwenye Kiswahili.

Hutakiwi kuniambia "Galaxy ya Andromeda huwezi hata kuichungulia" kwa kumaanisha siwezi kuifikia.

Naweza kuwa siwezi kuifikia, lakini kuichungulia naweza, tena bila hata telescope.

Sasa ukisema siwezi hata kui "glimpse" kwa maana ya kwamba siwezi kuifikia, hapo kuna mawili.

1. Una matatizo ya msamiati na matumizi mazuri ya maneno ya Kiingereza. Sehemu ya kusema "reach" kwa maana ya kufikia umetumia neno "glimpse" kwa maana ya kufikia. Umeharibu, umetumia "kuchungulia" badala ya "kufikia" huku ukimaanisha kufikia.

2. Labda huna matatizo ya msamiati wa Kiingereza, una matatizi ya nidhamu ya matumizi ya lugha kimantiki. Huna nidhamu. Unajua neno "reach", lakini unatumia neno "glimpse" sehemu ya reach kwa sababu ya ushairi usio na tija unaochanganya wasomaji wako.

Pia,

Wewe hujui hata speed of light. Umeikosea. Ninekukosoa.

Hata kushukuru umekosolewa hujashukuru.

Unabishana kwamba neno "glimpse" halijabadilisha maana nzima ya ulichoandika.

Kitu kingine umedanganya umeandika galaxies zinajitanua kwa speed kuzaidi ya speed ya mwanga. Nimekusahihisha kwa namba. Umejibaraguza kama hujaona.

Unapokosea, ukakosokeea, kubali.

Kuna watu wanafuatilia hapa wanajifunza unaweza kuwapotosha.
 
Last edited:
Wazungu wako mars the next level, sisi tuendelee kukalia kuwa hawajafika mwezini
 
Wazungu wako mars the next level, sisi tuendelee kukalia kuwa hawajafika mwezini
Voyager 1 and 2 za Wamarekani zimeshatoka kwenye Solar System.

Ukiwaambia wapo Mars watu hawa unawashusha.

Halafu si "wazungu". Wamarekani. Wapo watu wa kutoka kila sehemu ya dunia.

Hata simu ukisikia Kiranga Mnyamwezi wako nawakilisha Bongo chama la NASA (hata kwa ufagizi tu, si lazima niruke angani, kwanza nina ngiri kubiringita zero gravity siwezi) usishangae sana.
 
Last edited:
sas mkuu kama vyombo vinatumwa vinafika kwann binadamu asifike? umbali kati ya dunia na mwezi ni km 384,000 tu pana umbali gani hapo wkati watu wametuma vyombo mpk kwe orbit ya jupiter huko karibu KM milioni 300 na zaidi
Umewashuhudia wakifanya iyo safari????!?
 
Usiburuzwe kifikra jiongeze ww sio mdori japo kila kitu umekikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…