Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara

Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…