Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara

Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
Its happening…
 
Nani amekumbia kuna mabadiliko?
 
Kuna nong'ono za kuletwa yule anaerudi kutoka Jpn au kurudishwa aliekuwa kabla ya aliopo sasa.
 
Back
Top Bottom