johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Dr Dorothy? 🐼Gwajima ,umefurahi sasa?
Dr Dorothy? 🐼Gwajima ,umefurahi sasa?
Usiwe mkali. Lugha zako za picha hapa jukwaani zilisomeka hivyo, Mkuu.Lini nilikuambia Mimi ni Insider? Thibitisha hapa.
He is no more.Aliyepo anaenda wapi ?
Thibitisha tafadhali la sivyo haya Maelezo yako ni TITO and GIGO tu.Usiwe mkali. Lugha zako za picha hapa jukwaani zilisomeka hivyo, Mkuu.
Naturally or fixed?He is no more.
Itakuwa bomba sanaTwende msibani acha kulialia tu hapo, bado wapo wengi tu watang'ata mashuka na Yeye atarudi kisiwani na pamba mbona😢😢😢
Msoga did it againNaturally or fixed?
Mkija kuwa proven wrong, mtamuiga mbuni mchangani?...again...
Hivi the entire system Iko mfukoni kwa msoga? Hakuna mwenye ujsiri wa ku execute contingency plan?Msoga did it again
Kuna "Official sources" au ndiyo mambo ya kupoteza upepo wa wataka mabadiliko... Maana "Spin doctors" wa bongo ni wataalamu wa kuwapa watanzania wanachotaka...Mkija kuwa proven wrong, mtamuiga mbuni mchangani?
alisikika kichaa wa mtaa akisema huyn ndo mtaalafu wa kusuka na ndye msukaji mzuri nchini...mimi sikubaliani na maneno ya mtu aliyelukwa na akili,je wewe unakubali?Hivi the entire system Iko mfukoni kwa msoga? Hakuna mwenye ujsiri wa ku execute contingency plan?
Nasikia amededi wanaficha tuAliyepo anaenda wapi ?