Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

Je Nani atafuata kuwa mkurugenzi wa TISS?

Vipi Mkeremi?
Ulishajipendekeza sana wewe na kujaribu kuonesha kuwa uko vizuri kuliko wao. Hilo usijisumbue, wenyewe wanakujua vizuri sana. Usithubutu kupima moto kwa kuugusa. Tisi siyo mguu pande mguu sawa, kushotooo geuaka!!. Tisi ni lidubwasha kubwa!
 
Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara

Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
MI siwafahamu watu wa kitengo.naomba ututajie unaye ona anafaa kuwa Director.
 
20250820_130308.jpg
 
Back
Top Bottom