Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Amerudi alipotokaAliyepo anaenda wapi ?
Amerudi alipotokaAliyepo anaenda wapi ?
Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi ....!Nani kasema Mkurugenzi wa TISS atabadilishwa?
Kumbuka Lissu alipopigwa risasi alikuwa anasema Mabeyo alichaguliwa kwa mizengwe.
Macca kuhijiHuyu kaenda wapi?
Gwajima ,umefurahi sasa?Wamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara
Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
Awadh ana diploma ya community development nani ampe aseeee.Cp Awadhi
Kigogo jana kasema muda wowote mtu anawekewa pambaWamepita wakurugenzi wengi ndani ya idara
Lakini tukumbuke mwaka huu ni wa uchaguzi na Mambo yanaweza kubadilika kabla au baada ya uchaguzi je Nani kuwa kuwa mkurugenzi mpya wa TISS baada ya Mombo?
Amekula nkate na divaiKigogo jana kasema muda wowote mtu anawekewa pamba
Twende msibani acha kulialia tu hapo, bado wapo wengi tu watang'ata mashuka na Yeye atarudi kisiwani na pamba mbona😢😢😢Abdul Hafidh Ameir SSH kuwa DGIS mpya.
Nawe umeishanyimwa access siku hizi nini? Yaani kama no longer the insider vile!!!....kuwa....
Lini nilikuambia Mimi ni Insider? Thibitisha hapa.Nawe umeishanyimwa access siku hizi nini? Yaani kama no longer the insider vile!!!
Si ni kwasababu nchi yenyewe ishakua ya kipumbavuWaliokoment UJINGA hapo juu wote ni wapumbavu
Kumbe hizo kazi zinataka uwe na professional gani?Awadh ana diploma ya community development nani ampe aseeee.