Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

Shukran boss
 
Nimekusoma kiongoz
 
Anza mapema bila kuangalia nyuma, mimi nilianza nikiwa na 20+ miaka 10 baadae nilikuja kuona faida yake, kwani kuna kipindi majukumu yameongezeka , ada za watoto,kusapoti ndugu zako na wa mke ni muhimu sana unapopata fursa ya ujenzi ufanye hivyo, huko mbeleni utaiboresha tu au kujenga nyingine
 
Ahsante sana
 
Ndoto ya watanzania wengi sijui huwa ni kujenga? Hauna ndoto ya kuwa na vitu vikubwa mkuu? Kama kiwanja si tayari unacho?
 
Wahindi hawakai vichochoroni mbali na biashara zao ndo maana wamejazana NHC kwenye kodi ya 20k nyumba ni asset mzee
Unajua watu wengi humu wanakwenda kwa kusikia hawana wanalolijua sababu kasika kwa fulani na yeye anajifanya anajua.

Nimekuwa katika hizi nyumba NHC na nimesoma na hawa Wahindi wewe mswahili ukisema uwa copy life style yao umekwisha tena vibaya sn sababu ni jamii ambayo huwezi kujua mfumo wao maisha yao ni ngumu sn kujua kama unatoka huko Naanjilinji huwezi kujua hata kidogo.
Hawa watu wana make money kwenye hizo NYUMBA wanazo ishi .


Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Maisha ni nyumba kwa watu wenye mtazamo kama wako.

Kama hana familia nyumba anajenga ya nini awekeze akuze mtaji.

Nyumba inawezekana kujenga hata kwa mwezi mmoja kama atakuwa na hela ya kutosha.
Biashara ni nyepesi kuiongelea,
 
Biashar kama ipi ? Unampoteza mwenzako
Hakun nbiashar bongo umpe mtu akusimamie ikaendlea.usipoifanya mwenyewe jua unaend kutupa hela
We unafikr watumish na wafanyakaz hawana hela za biashara?? Wanazo sana ila biashara ipi umpe mtu au ndugu ukapona? Ukimpa tu na yeye anaanza kuiba atoke kupitia wewe.ndio matokeo mabodabod meng ya mkataba angalau wat wanaona wawekez huko hela izunguke kuliko kumpa mtu biashara anaenda kukutia hasara.
Hio hela piga mahesab ujenz nao mziki mnene bora uchkue boda ya mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…