Usilazimishe tufanane nao.
Jenga Mzee, likitokea lolote upo kwako, uwe tajiri uwe masikini, uwe mzima au mgonjwa, uwe na ajira ua laa upo ndani kwako.
Hata ukishindwa kumaliza nyumba, utakua umeongeza thamani kiwanja chako utauza.
Wengi wenu hamna experience ya ujenzi, mnafikiri ujenzi ni rahisi, kama hauna usimamizi ni kama unagawa hela zako kwa mafundi. Utaibiwa mpaka mchanga na kokoto site.
The good idea, aanzishe biashara ata mkataba utakapoisha aikute biashara imesimama aendelee nayo. Ukijenga ukiwa hauna source nyingine ya income, ultimately utaiuza hiyo nyumba.
Nilianza ujenzi nikiwa na mil 1.4 iliyopatikana baada ya kuuza kigari changu.
Anza na hii ramani. Mambo yakiwa mazuri, utajenga kubwa kwa mbele.View attachment 2477514
Ramani inategemea na bajet ya mtu. Mtu wa chini huwezi mpa ramani kubwa alafu nyumba iishie njiani.Hamna ramani hapa ni utopolo
Nimekuelewa mkuu shukranKama una akili ya biashara, fanya biashara kwanza.
Kwa mtaji wako wa milioni tatu unaweza ukanunua bodaboda zilizotelekezwa Polisi, unazikarabati kidogo halafu unauza kwa bei ya faida. Polisi unaweza ukapata bodaboda hadi kwa Tshs. 300,000/- ukaja kuiuza kwa 700,000/- hadi 900,000/- (ukarabati 100,000/-). Lenga sana bodaboda ambazo ukiuza kwa bei ya mwisho milioni moja unapata faida. Hapo kwenye chini ya milioni moja ndo utapata wateja wengi sana.
Au ukanunua amana zilizotelekezwa kwenye taasisi za mikopo midogomidogo (Microfinance Institutions) kwa bei chee ukaziuza kwa bei ya faida. Kwenye microfinance utapata amana kama vile simu, laptops, flat screen na bodaboda pia.
Ila kama akili ya biashara unaona huna, basi ni bora ukajenga. Chukua ramani ya kimaskini ya Kituo Kidogo cha Polisi utapata chumba cha kulala na sebule unaanza mdogo mdogo. Hapo sasa itabidi ufunge ndoa na kazi. Yaani jitahidi uwe mfanyakazi bora unayemfurahisha bosi wako ili mkataba ukiisha akupe mwingine. Na wakati huohuo ukiwa unajituma kutafuta ajira sehemu zingine kwa sababu mara nyingi sana ukibadilisha mwajiri ndo mshahara huwa unapanda. Mwajiri uliyenaye ni ngumu sana kukupa nyongeza yoyote ya maana ya mshahara.
Hakikisha pia unafungua akaunti Linked-In na kufanya networking kupitia mtandao huo. Ukifunga ndoa na ajira mitandao kama Facebook na Insta haina maana tena kwako. Mtandao wako ni Linked-in.
Wahindi wanaogopa kuporwa.Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Wahindi wanaogopa kuporwa.
Sasa anakuja asiejua maisha anakwambia mbona wahindi hawajengi.Kabisa mana utawala unabadilika badilika lolote linaweza kuwakuta na ukichunguza utagundua wamejenga kwao huko
Chukua ramani ndogo yaani isiyozidi square meters 110 so unaweza..Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Wewe ni mhindi?Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Mil.3 anaanza,baadae ukipata mil.3 nyingine anamaliza boma.Kuchokoza ujenze kwa M3 usijaribu hata tu kuwaza, unless unajenga ki room kimoja cha kujibanza kumuepuka landlord.
Tatizo la biashara ni kwamba Ina uwezekano mkubwa kufa kuliko kufaulu ndio shida hiyo hasa Kwa bigginersBiashara anaijua...kuna jirani yangu mwaka jana wamechukua mkopo wa million 20 wakasema wanafanyia baishara .
Kufupisha story baada ya mwaka baishara imekufa wamebaki na gari. Mkopo wanaendelea kulipa wakiwa nyumba za kupanga.