Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Ilo ni kwaajili ya kutunza watumishimadhabahu yakweli wanalitumiaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo ni kwaajili ya kutunza watumishimadhabahu yakweli wanalitumiaje?
nasadaka zakila jumapili
Zinatumika kwenye shughuli za kikanisanasadaka zakila jumapili je?
hao wana walawi ndio wachukue helakilasiku?kwanza kwani bado mnawafuga hao wana walawi?
MKuu unaweza nisaidia Huo Muongozo ulikuwa lini na wapi..Hakuna segenu ililoandikwa kuwa sehemu ya 10 ipelekwe kanisaniNdio utulie tuwekane sawa,huo utamaduni na muongozo uliingia hadi katika kanisa la kwanza la kristo,kila sehemu ya 10 ya mapato yalipelekwa kani sana ili kuipa nguvu kazi ya utume na uijilishaji,na hii inafanyika hadi sasa.
Bila hivyo kazi ya utume na uinjilishaji ingekuwa ngumu ndio maana kanisa linaendelea kusisitiza utoaji wa zaka kwa lengo hilo.
Wanawalawi kwa sasa hawapo ila ile kazi yao sasa ni sawa na inayofanyika katika kanisa la leo.
sadaka zakila jumapili zinaenda wapi mkuu
Peleka kwa wenye uhitaji hakuna Sehemu kwenye biblia inasema upeleke kanisani..
Ila imesisitixa ni kwa ajili ya Wasiojiweza
Inaonekana wewe ni mpaganisadaka inatumika kanisani nafungulakumi pía acheni upigaji.
sadaka tuu inatosha kuhudumia kanisa fungulakumi wapeni wasio jiweza dah
Na Kuna vituo vya watoto yatima pia ambavyo vinakua chini ya uangalizi wa kanisaKwahiyo sasa mishahara ya wachungaji mapandri,wainjilisti, hutoka katika zaka hapa naongelea makanisa yenye mfumo wa kitaasisi.
Pia kanisani kuna shughuli nyingi sana mfano kulipa bills za maji,umeme,marekebisho ya aina mbalimbali,safari za watumishi,uijilishaji kwanjia za redio na televisheni,ujenzi wa makanisa sehemu mbali mbali hizi hela hazitoki mifukoni mwa wachungaji ni makusanyo sa zaka na sadaka.
Maskini tunawasaidia yatima tunawasaidia na wasiojiweza tunawasaidia sadaka tunatoa na zaka tunatoa pia....ni heri kutoa kuliko kupokeadadeki masikini hamumsamini kabisa.kilakitu mnavutia kwenu tuu.
MKuu unaweza nisaidia Huo Muongozo ulikuwa lini na wapi..Hakuna segenu ililoandikwa kuwa sehemu ya 10 ipelekwe kanisani
dadeki masikini hamumsamini kabisa.kilakitu mnavutia kwenu tuu.
basi sadaka watu wasitoe wapeleke kwwasio jiweza.au walawi watasusa?
Inaonekana wewe ni mpagani
Kazi ya mchungaji ni Moja tu kuchunga kondoo ambao ni kanisakwanini sasa wachungaji wao wanapokea tuu?
Na Kuna vituo vya watoto yatima pia ambavyo vinakua chini ya uangalizi wa kanisa
Inawezekana, ila usiwaambie peleka kimyakimya maana ukiwaambia tu watakupotosha watakuambia lazima uwape wao kwanza wabarikiJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
HAPANAJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.