Sijasema ipelekwe kwa wahitaji ila nimesema ninkwa ajili ya wasiojiweza...
Kwanza kabisa unatakiwa ujue kuwa zama ilikuwa ni kwa ajili ya walawi maaba wao walikuwa hawana urithi wala hawana mashamba...
Hapo nimesema hakuna andiko linalosema zaka zipelekwe kanisani...
Kumbukumbu la Torati 14:27-29
[27]na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
And the Levite that is within thy gates; thou shalt not forsake him; for he hath no part nor inheritance with thee.
[28]Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
At the end of three years thou shalt bring forth all the tithe of thine increase the same year, and shalt lay it up within thy gates:
[29]na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
And the Levite, (because he hath no part nor inheritance with thee,) and the stranger, and the fatherless, and the widow, which are within thy gates, shall come, and shall eat and be satisfied; that the LORD thy God may bless thee in all the work of thine hand which thou doest.