Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

hao wana walawi ndio wachukue helakilasiku?kwanza kwani bado mnawafuga hao wana walawi?

Ndio utulie tuwekane sawa,huo utamaduni na muongozo uliingia hadi katika kanisa la kwanza la kristo,kila sehemu ya 10 ya mapato yalipelekwa kani sana ili kuipa nguvu kazi ya utume na uijilishaji,na hii inafanyika hadi sasa.

Bila hivyo kazi ya utume na uinjilishaji ingekuwa ngumu ndio maana kanisa linaendelea kusisitiza utoaji wa zaka kwa lengo hilo.

Wanawalawi kwa sasa hawapo ila ile kazi yao sasa ni sawa na inayofanyika katika kanisa la leo.
 
MKuu unaweza nisaidia Huo Muongozo ulikuwa lini na wapi..Hakuna segenu ililoandikwa kuwa sehemu ya 10 ipelekwe kanisani
 
sadaka zakila jumapili zinaenda wapi mkuu

Kwahiyo sasa mishahara ya wachungaji mapandri,wainjilisti, hutoka katika zaka hapa naongelea makanisa yenye mfumo wa kitaasisi.

Pia kanisani kuna shughuli nyingi sana mfano kulipa bills za maji,umeme,marekebisho ya aina mbalimbali,safari za watumishi,uijilishaji kwanjia za redio na televisheni,ujenzi wa makanisa sehemu mbali mbali hizi hela hazitoki mifukoni mwa wachungaji ni makusanyo sa zaka na sadaka.
 
Kumbukumbu 26:12

“Utakapokwisha kutoa zaka, katika zaka zote za maongeo yako mwaka wa tatu, ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba;”
 
Kwahiyo sasa mishahara ya wachungaji mapandri,wainjilisti, hutoka katika zaka hapa naongelea makanisa yenye mfumo wa kitaasisi.

Pia kanisani kuna shughuli nyingi sana mfano kulipa bills za maji,umeme,marekebisho ya aina mbalimbali,safari za watumishi,uijilishaji kwanjia za redio na televisheni,ujenzi wa makanisa sehemu mbali mbali hizi hela hazitoki mifukoni mwa wachungaji ni makusanyo sa zaka na sadaka.
Na Kuna vituo vya watoto yatima pia ambavyo vinakua chini ya uangalizi wa kanisa
 
MKuu unaweza nisaidia Huo Muongozo ulikuwa lini na wapi..Hakuna segenu ililoandikwa kuwa sehemu ya 10 ipelekwe kanisani

Malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
 
dadeki masikini hamumsamini kabisa.kilakitu mnavutia kwenu tuu.

Bado hujaelewa hapa tunaongelea zaka fungu la 10,iliyobaki toa hata yote kwawahitaji hujakatazwa ila 1/10 ni kanisani kwenye madhabahu.

Au unataka uelekezwe kipi,au zaka na sadaka huwa unazielewa vipi. ?
 
basi sadaka watu wasitoe wapeleke kwwasio jiweza.au walawi watasusa?

Sadaka toa uwezavyo ila 1/10 ya pato lako ni madhabahuni,una 100000 moja ya 10 ni 10k,hiyo 90k ukitaka kupelekea wahitaji unsowrza wasaidia pelekea hujakatazwa ila 10k mtolee muumba wako kwa kazi ya injili.
 
Na Kuna vituo vya watoto yatima pia ambavyo vinakua chini ya uangalizi wa kanisa

Yes ni mambo mengi sana,kanisa husaidia wahitaji wengi sana sema watu wanapotoshwa na wanapotoka hivi bila sadaka na zaka utume ungeweza enea ulimwenguni?
 
Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?

Naomba hekima zenu juu ya hili.
Inawezekana, ila usiwaambie peleka kimyakimya maana ukiwaambia tu watakupotosha watakuambia lazima uwape wao kwanza wabariki
 
Back
Top Bottom