jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
kwanini sasa wachungaji wao wanapokea tuu?
Utakua umefanya jambo la maana sana kuliko kupeleka 10% ya kipato chako kwa haya mambuzi ya madhabahuniJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Sijasema ipelekwe kwa wahitaji ila nimesema ninkwa ajili ya wasiojiweza...Nipe andiko linalosema zaka ipelekwe kwa wahitaji?
Utakua umefanya jambo la maana sana kuliko kupeleka 10% ya kipato chako kwa haya mambuzi ya madhabahuni
Heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu
Kabla hujatoa hiyo sadaka, je wahitaji wanaoishi karibu nawe wana hali gani? Je ni dhiki ya njaa au mavazi au malazi?
Usijetoa sadaka wee mwishoni ukaulizwa nilikuja kwako nikiwa na njaa wala hukunijali
Enenda sasa huku ukitafakari cha kufanya
Sijasema ipelekwe kwa wahitaji ila nimesema ninkwa ajili ya wasiojiweza...
Kwanza kabisa unatakiwa ujue kuwa zama ilikuwa ni kwa ajili ya walawi maaba wao walikuwa hawana urithi wala hawana mashamba...
Hapo nimesema hakuna andiko linalosema zaka zipelekwe kanisani...
Kumbukumbu la Torati 14:27-29
[27]na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
And the Levite that is within thy gates; thou shalt not forsake him; for he hath no part nor inheritance with thee.
[28]Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
At the end of three years thou shalt bring forth all the tithe of thine increase the same year, and shalt lay it up within thy gates:
[29]na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
And the Levite, (because he hath no part nor inheritance with thee,) and the stranger, and the fatherless, and the widow, which are within thy gates, shall come, and shall eat and be satisfied; that the LORD thy God may bless thee in all the work of thine hand which thou doest.
Mkuu kanisa ni ghala?Malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malimbuko Ni tofauti na Zaka...Hili lilikua agizo la fungu la 10 kwa mwaka wa3,ndio angizo lilitolewa litumike vipi,swali ni je hili agizo ni kwa kila fungu la 10? Jibu ni hapana.
Malimbuko ya mwezi,wiki,siku au mwaka kwa fungu la 10 mwongozo wake ni upi?
Itoshe tu kusema AhsanteSijasema ipelekwe kwa wahitaji ila nimesema ninkwa ajili ya wasiojiweza...
Kwanza kabisa unatakiwa ujue kuwa zama ilikuwa ni kwa ajili ya walawi maaba wao walikuwa hawana urithi wala hawana mashamba...
Hapo nimesema hakuna andiko linalosema zaka zipelekwe kanisani...
Kumbukumbu la Torati 14:27-29
[27]na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
And the Levite that is within thy gates; thou shalt not forsake him; for he hath no part nor inheritance with thee.
[28]Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
At the end of three years thou shalt bring forth all the tithe of thine increase the same year, and shalt lay it up within thy gates:
[29]na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
And the Levite, (because he hath no part nor inheritance with thee,) and the stranger, and the fatherless, and the widow, which are within thy gates, shall come, and shall eat and be satisfied; that the LORD thy God may bless thee in all the work of thine hand which thou doest.
Zaka ina sheria zake haipokelewi gu kiholela mkuu...Hili lilikua agizo la fungu la 10 kwa mwaka wa3,ndio angizo lilitolewa litumike vipi,swali ni je hili agizo ni kwa kila fungu la 10? Jibu ni hapana.
Malimbuko ya mwezi,wiki,siku au mwaka kwa fungu la 10 mwongozo wake ni upi?
Hakuna waangalizi wa hekalu wa sasa kwa sababu Sasa hakuna hekalu.Maandiko yanasema hivyo nakubali. Swali: wana wa walawi wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Makuhani wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Waangalizi wa hekalu wa sasa ni sawa na wale wa zamani? Hawa wa sasa mbona wanapewa urithi wa ardhi na ''wanatafuna'' kondoo huku wakijirekodi na simu?
Kanisani kuna madhabahu? Unajua madhabahu ni nini? Umewahi kuona madhabahu wapi wewe?Leteni zaka kamili Ili kiwemo chakula katika nyumba yangu....zaka ni ya Mungu peleka madhabahuni....wahitaj utawasaidia Kwa pesa tofaut na zaka
Madhabahu sio kanisa. Madhabahu sio Altari (stage anayokaa mchungaji).Tatizo Kuna watumishi wengi sana wa uongo ambao wanapotosha kweli...ila madhabahu za kweli zipo mfano Lutheran church
Basi ndiyo hivyo. Mwili wangu ndiyo hekalu na fungu la kumi nitalipeleka hekaluni.Hakuna waangalizi wa hekalu wa sasa kwa sababu Sasa hakuna hekalu.
Na hakuna wa kumpa hiko fungu la kumi kwa sababu hakuna makuhani wa kabila la lawi hapo kanisani kwako.
Hekalu likikuwa moja tu, Hekalu la Yerusalemu. Wana wa Israeli walikuwa wanapeleka fungu la kumi Hekaluni Yerusalemu... hawakuwa wanapeleka kwenye masinagogi kwa sababu Torati iwaamuru waipeleke hekaluni.
Katika agano jipya, hakuna hekalu la jengo.. hekalu ni mwili wako (hekalu la Roho Mtakatifu).
Jifunzeni Biblia acheni kudanganyika
Exactly. Linatakiwa lipelekwe HEKALUNI... Na walikuwa wanapeleka Hekaluni Yerusalemu, sio kwenye masinagogi ya mitaani kwao.Kwenye agano la kale fungu la kumi maelekezo yake linapaswa lipelekwe hekaluni hakuna maelekezo tofauti na hayo kama unayo leta kifungu cha andiko.
Katika agano jipya lililofanyika kwa damu ya Yesu, Hakuna mahali popote Mungu amekuagiza wewe utoe fungu la kumi.Basi ndiyo hivyo. Mwili wangu ndiyo hekalu na fungu la kumi nitalipeleka hekaluni.
Hakuna waangalizi wa hekalu wa sasa kwa sababu Sasa hakuna hekalu.