Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Hapa umezungumzia mchakato wa kujitambua kiroho au umezungumzia mchakato wa neurochemical stimulation?Sehemu za asili.. kwenye miti mbalimbali ambayo bado tafiti zinaendelea..mbali na hewa safi .. Kuna baadhi ya mimea hutoa tiba za kimwili kwa kutoa kemikali mbalimbali ambazo ukivuta na kuingia kwenye mfumo wa hewa mwili huzibeba kwa manufaa flani flani ..
Mimea au miti huongeza activity flani ndani ya Ubongo..na ukizoea basi Ubongo wako unatengeneza hali kama hizo..
Mimi niko kwenye neurochemical stimulation....Hapa umezungumzia mchakato wa kujitambua kiroho au umezungumzia mchakato wa neurochemical stimulation?
Hakuna anayewajibika.Nani anawajibika kwa yale mabaya yanayowapata watu wasio na hatia?
Alionyeshwa ni lini hiyo ndege itaanguka , wapi? na ni ndege ya aina gani?Hapa Jf...Kuna mtu aliwahi kuandika ameota ndege imeanguka... Ila hajui ni wapi...baada ya wiki mbili au tatu .. Precision air ilianguka Bukoba.... Watu walijiuliza sana wakakosa majibu
Neurochemical stimulation ndiyo inayozalisha maono au inatengeneza mazingira mazuri tu ya kuipokea taarifa ambayo tayari ipo kwenye universal field?Mimi niko kwenye neurochemical stimulation....
Nguvu ya Ubongo inapokutana na mazingira mazuri ..tegemea maajabu
Usiseme ubongo sema roho acha kuchanganya kuwa straight wanaopata ajali je hawana ubongoKatika mwili wa binadamu Kuna vitu vingi bado havijagunduliwa jinsi vinavyofanya kazi...
Mfano Ubongo wa binadamu ni very complex kiasi kwamba..ugunduzi wa mambo mbalimbali bado unaendelea kuvumbuliwa..
Ndio maana ndoto binadamu anazoota Kuna vitu vinafanyiwa research...
Kuna watu wakiota ndugu yake labda anaumwa... Kesho yake wakipiga simu wanaambiwa alikuwa hoi kapata nafuu
Au hata sio ndoto tuu.. Kuna watu Ubongo unampa hisia tuu..ondoka hapa.. baadae mnasikia sehemu imevamiwa au Kuna shida imetokea eneo Hilo
Ila sio Kila mtu Ubongo wake unaweza haya mambo.. na ndio maana Kuna tafiti zinafanyika ili kujaribu kuangalia Ubongo wa binadamu na mazingira yake
Wataalamu wa tafiti wanasema Kuna extra sense..(mlango wa ziada wa fahamu) hasa ndoto au hisia ya kitu ambacho ukioni lakini Ubongo unakupa taarifa hasa katika hali ya utulivu sana
Siyo kweli Mkuu.Hakuna anayewajibika.
That is nature's law.
Ni kama Ww unavyomchinja Kuku ili ule uishi . Thats fair maana hata kuku anakula wadudu. Na wadudu wanakula vingne
Shukrani sana umeandika vizuri sanaNaweza kuongezea kidogo...
Ukiwa mtu wa asili sana ..(nature) mfano Kwenda sehemu za utulivu sana kwenye mito inayotiririsha maji, kwenye miti , kusikiliza sauti za ndege nk
Basi Ubongo unapokea Yale mazingira na kujiunganisha na asili
Ubongo ukipata utulivu na ukaenda sehemu kama hizi..zenye miti mbalimbali basi hewa ya oxygen inakuwa katika concentration kubwa..
Ubongo ukipata hewa safi mara kwa mara.. kwa utulivu basi pole pole utaanza kupata ndoto za ishara flani flani... Au hata extra sense (Machale) ya kitu Cha hatari
Lakini usiwe mlevi wa chakari..kwakuwa ukilewa chakari ..huwezi kupata ndoto za ishara flani flani
Sehemu za asili.. kwenye miti mbalimbali ambayo bado tafiti zinaendelea..mbali na hewa safi .. Kuna baadhi ya mimea hutoa tiba za kimwili kwa kutoa kemikali mbalimbali ambazo ukivuta na kuingia kwenye mfumo wa hewa mwili huzibeba kwa manufaa flani flani ..
Mimea au miti huongeza activity flani ndani ya Ubongo..na ukizoea basi Ubongo wako unatengeneza hali kama hizo...
Na ndio maana baadhi ya watu anaweza Kukaa mjini akaona mambo hayaendi..anasema naenda kijijini mara Moja... Huko anaenda kutuliza Ubongo katika utulivu katika mazingira ya asili na kupata hewa safi (chakula kikuu Cha Ubongo) na kujaribu kuangalia amekosea wapi...na Ubongo humpa mawazo chanya ya Nini kifanyike
Aliota ndotoni...akasema nimeota....Alionyeshwa ni lini hiyo ndege itaanguka , wapi? na ni ndege ya aina gani?
Mfano mimi kesho niamke, nianzishe uzi kwa kudai kuwa nimeota ndani ya hii week Morogoro road kutatokea ajali, halafu kabla week haijaisha ajali itokee maana yake mtaniamini si ndiyo?
Ahaaa sawandoto ni tukio lililondani ya timeline yaan past,present,future. ko ndoto inaweza kuwa past oriented(experience) ama future oriented(maono)
Niambie kuhusu time traveller na namna inavyofanya kazihii iko connected na other dimension beings wanaokushushia taharifa hawa n matime traveller wanakuchunga mwanao uloko duniani usipotee.
Neurochemical stimulation..inafanya mengi ambayo bado utafiti upo kaziniNeurochemical stimulation ndiyo inayozalisha maono au inatengeneza mazingira mazuri tu ya kuipokea taarifa ambayo tayari ipo kwenye universal field?
Roho ni Nini?Usiseme ubongo sema roho acha kuchanganya kuwa straight wanaopata ajali je hawana ubongo
Kila mtu anajua matamanio yake mkuu hata wewe pia unajua unachotamani unachowazaMkuu ndoto zinahitaji tafsiri kwa uzoefu wako kivipi huwa unaweza kutofautisha kati ya tafsiri sahihi ya kiroho na tafsiri inayochochewa na hofu au matamanio yako binafsi?
Na hapa nimezungumzuia zile ndoto ambazo baadae hugeuka halisiYani ni kipimo gani huwa unatumia kuhakikisha kuwa tafsiri yako siyo bias?
Nimekuelewa. Sasa ni nani atawajibika kwa madhara yanayopata watu? Majanga. Shida. Tabu na dhiki.Siyo kweli Mkuu.
Binafsi nimekuelewa sana, na hilo lipo kwa watu wachache sanaKuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa
Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi?
Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana?
Au tuseme ndoto huwa ni dunia au ulimwengu mwingine?
Kwa sababu unapoota ndoto huwa ni kama upo kwenye ulimwengu au dunia nyingine. Maana unakuwa umelala, lakini ni kama bado kuna mambo yanaendelea kwenye akili yako
Wengine husema ndoto huwa ni matokeo ya mawazo, msongo wa mawazo uliozidi, maongezi au vitendo vya muda fulani
Ndiyo huwa ubongo unakuwa kama unarudi kwenye yale mambo
Mimi binafsi nakiri kuna ndoto zingine mtu huota huwa ni matokeo ya mawazo, shughuli za kutwa nzima au kile akili inachowaza au inachokitamani kifanyike
Unajikuta ukiota hivyo, na unapoamka unajua kabisa hizi ni fikra za mchana kutwa na mawazo tu
Au kuota mambo ya zamani, mfano shule, marafiki wa utotoni n.k. Na hii ya shule wengi wanasema wameota, ila mimi sijawahi kuota kabisa ndoto ya shule
Ninakuwa tu na ndoto zangu kivyangu, ambazo sioni hata watu wakizizungumzia
Swali linakuja kwenye ndoto ambazo nitaziita prophetic dreams, kwa sababu ni ndoto unaota kitu kitakachotokea mbele
Nasisitiza, kitu kitakachotokea mbele. Unakuta siku moja kabla au siku mbili kabla
Hii inanifanya nawaza sana, hivi huwa ni kitu gani kinatokea?
Yaani unaota ndoto kuhusu kitu fulani, halafu kikitokea unakuwa shocked π²
Ukimwambia mtu haamini, anaona ni uongo, kama unapenda kujifanya special
Hivyo unabaki nayo mwenyewe
Pia kuna mtu ana uwezo wa kusoma mtu anachokiwaza
Yaani mfano ukiwa unachat na mtu unaweza ukawa unahisi huyu fulani ana nia fulani, aidha ana chuki fulani dhidi yangu, japo anaweza kuwa anapretend love
Na kweli hatachukua muda mrefu anajifunua rangi zake halisi
Lakini point kubwa hapa ni, inakuaje mtu anaota mambo yajayo? Ni nini huwa kinatokea??
Au huo ndio huitwa ulimwengu wa roho au wa siri?
Nitatoa mfano. Kuna ndoto niliota kuhusu watu fulani
Hao watu sikuwahi kuwajua kabla na hakuna namna ningewajua
Ila ajabu, hiyo ndoto niliyoota na majina yao kwenye ndoto, nilivyokuja kufahamu baadaye ilikuwa the same names
Yaani hata kama ningemwambia mtu asingeelewa, angesema nataka sifa
Niliwahi kuishi na mtu fulani
Huyo nilikuwa namwambia sana, Nimeona hivi katika ndoto kuhusu wewe,na kweli baada ya siku anakutana na situation kama hizo
Akawa ananiuliza, Wewe ni mganga au mchawi?π’π
Ni mambo mengine mengi, ila hayo machache yanaeleweka
Je, kuna wengine wapo hivi?
Huota mambo halisi kabisa?
Nini sababu?
Faida au hasara?
Welcome Guy's
ShesRise_1 π€
Yaani hapa hata hujaelewa naongelea nini huo mfano uliotoa na msingi wa swali langu ni mbingu na ardhiUkienda mbugani kutalii ambapo akili inajua na imeshajiwekea kwamba mazingira ya mbugani (porini) huwa kuna wanyama na wadudu hatari.
Halafu ukiwa Vacation mbugani, ukaota nyoka anakung'ata, lakini kiuhalisia hajakung'ata ni ndoto tu.
Ukaendelea kutalii mbugani hapo kwa siku kadhaa, Halafu ghafla Nyoka akakung'ata.
Utasema ndoto yako uliyoota kabla imetimia kiroho kwa mambo yajayo?
Au akili yako imesha jijenga kwamba kiuhalisia mazingira ya mbugani huwa wanaishi wadudu hatari kama nyoka ndio maana ukaota ndoto kabla ya kung'atwa?
Nashukuru sana umenielewa ila kuhusu mambo ya nabii sijui kuhusu hayoBinafsi nimekuelewa sana, na hilo lipo kwa watu wachache sana
Hilo ni suala la kiroho, una karama ya Unabii, Nabii ni Mtu anayeweza ku foresee na ku foretell
Kuna wanaojiita Manabii ila inaishia kujiita tu ili wapate umaarufu na kutimiza haja zao za kupata pesa,ilq hawajajaliwa karama hiyo
Wewe umejaliwa, ukitumika vizuri kwa Mwenyenzi Mungu utakuwa msaada kwa watu wengi
Kingine, unaweza kuja kupredict hata kifo chako.
Zingatia hayo niliyokueleza.
Kama hakuna anayewajibika, kwanini kuna haki?Nimekuelewa. Sasa ni nani atawajibika kwa madhara yanayopata watu? Majanga. Shida. Tabu na dhiki.
Whom to blame?.