Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Malechela hakuboronga.

Nyerere tu hakutaka kupotezewa legacy yake kwa gharama za Watanganyika na Wazanzibari.

Alikuwa anasimamia urejeshwaji wa Serikali ya Tanganyika ili kubalance Muungano.
Malecela aliwahi kubadili dini ili apate fedha za udhamini Kutoka Uarabuni ili awanie Urais, ndio kuboronga kwenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata asipokuja shauri yake yeye mwenyewe Ndugai familia yake inampigia mahesabu ya NUSU BIRIANI NUSU KUKU saa yeyote kuanzia siku anajiuzuru wanasubiri kutundika maturubai kongwa
 
Uwezo wako wa kufikiria na akili yako havijai kijiko cha chai.
(i). To be specific Ndugai kaboronga wapi?
(ii). Mkoa gani ambao viongozi wake wametenda kwa kiwango cha uungu?
Ndugai kaboronga wapi? Wewe unaishi nchi gani? Hivi unawezaje kama kiongozi wa mhimili unaoisimamia serikali ulaumu serikali ya kukopa kopa tu wakati huo wewe unasimamia upitishajo wa mikopo hiyo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani bado kazirai
 
Kama ni mzima atakwenda.
 

Kwani shida iko wapi?
 
mimi nilimwona P. Makonda , nikajiuliza Kubenea hajamuona
hivi kama hakuomba ruhusa si bunge litumie kile kifungu walichotumia kumwondoa Lisu na J nasari.
 
Utakuwa umepigwa na kitu kizito Agwee.
Sio Kwa povu Hilo bila Shaka utakuwa wa Mkoka au Mbandee
 
Agwe tulia basi mbona unawashwa
 
Malecela aliwahi kuboronga Nini na wapi?
Ile statement yake 'they can go to hell'.....

Halafu gazeti la Daily News wakaitoa front page.

Lakini hakuna kabila ambalo hakuna kiongozi hata mmoja ambaye hajawahi kufanya kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…