Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

Kwani bado yupo hai??
 
Ukimuona au ukisikia kaenda naomba uniTAG
 
Msiba haususiwi ataenda ila hatakaa vile viti vya mbele huyu tutakuwa nae huku nje nje kulinda magari ya wahudhuriaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HV nchi hi kumbe upumbafu ulianza zamani ..unaambiwa malecela amewahi kuwa waziri mkuu na makamu rais pia baadae Tena alivyo kosa vyeo vya juu akawa mgombea wa ubunge ktk jimbo la mtera na ndipo akaja kushindwa ktk kura za maoni na kibajaji

Sasa mshangao wangu kwamba iliwezekanaje makamu rais na wazir mkuu mstahafu aje kupamban jimboni kweli ? Mpk mwisho mwa 2010 ndio mzee alingatuka ngongole San kwa mzee msuya .warioba kina barnab samata kutokuangaika Tena na siasa baada ya kumaliza muda wenu
Si ajabu wazir mkuu kuendelea kuwa mbuge 2025
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]likuwaje uoe bila kujua mkuu lakin Dom kuna makabila 5 mkuu labda uliye is ni wa Dom lakini si wa Dom kati labda wa Dom kaskazini au kusini
Ameoa mrangii hao Ni vichomii
 
Unaakili gani wewe zaidi yakuremba maelezo?? Unawekaweka maemoji yakiduanzi!!!
Huyo naniiyako nimbunge na analipwa mshahara...
kama amekwambia hataki kuulizwa mwambie ajiuzulu ubunge mkapumzike vyema!!!
Anashikilia jimbo huku haendi kazini wakati enzizake alituhumu sana watu kwa utoro nawengine akafukuza!!
Usitetee upuuzi shabiki andazi mwambie aende kazini angepumzika baada ya vikao!!!
Tamaa mbele.....kaponzeka!!!
 
Makonda kaenda kwa nin asiende
 
Malechela hakuboronga.

Nyerere tu hakutaka kupotezewa legacy yake kwa gharama za Watanganyika na Wazanzibari.

Alikuwa anasimamia urejeshwaji wa Serikali ya Tanganyika ili kubalance Muungano.
Jifunze pia kuandika vizuri jina la huyo Mzee! Siyo Malechela× ni Malecela√ ! Vitoto vya 2000 vinadhani wanaoandika Malecela wanakosea!
 
Kwamba atoke urusi aje mvumi kwenye MSIBA!! basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…