MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Wewe umeona nini kwenye picha?View attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Hajui hao anaowaita Wafanyakazi wa Ikulu ni wanajeshi wa JWTZWewe umeona nini kwenye picha?
Ni wapi huko; na hao waliopo kwenye picha ni akina nani?
Kichwa cha mada kinasema hivi: "Je ni Samia ndio (h) aliamini au..."
Kuna uhusiano gani wa hiyo picha na hayo maneno uliyoweka kwenye kichwa cha mada?
Umesoma hadi darasa la ngapi?
Unatishwa na hao waliovaa Kaunda suit?
Ngoja nikuchangamshe akili: Hiyo kazi unayowaza wewe hata Camillius Wambura anaiweza sana, mbona hujamhusisha? Kwani kinachotakiwa ni nini, si ni mitutu tu; haya michache kabisa inatosha kufanya kazi ya muda mfupi sana.
Inawezekana kabisa usielewe chochote!
Ni wazi sasa kuna mifumo miwili ndani ya mmoja na inasigana sanaView attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Sijakuelewa, sema kwa uwazi kwani kuna shida gani?View attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Funguka mshana mbna mnatuacha kwenye mataaNi wazi sasa kuna mifumo miwili ndani ya mmoja na inasigana sana
Jeshini hakunaga kaunda hizo, labda samuya aambataene nazo akielekea huko. sasa hapa kaunda zimeambatana na mkuu wa majeshi. bado tu hujaelewa maana yake?Sijakuelewa, sema kwa uwazi kwani kuna shida gani?
Kaunda ni nini, suit za Kaunda? Sikuelewi pleaseJeshini hakunaga kaunda hizo, labda samuya aambataene nazo akielekea huko. sasa hapa kaunda zimeambatana na mkuu wa majeshi. bado tu hujaelewa maana yake?
inafikirisha.Kwamba kaunda za ikulu zinamlinda mkuu wa majeshi badala ya makomandoo wa jeshi?!
Ni kwamba mkunda hawaamini makomandoo wake hivo ameomba ulinzi wa ikulu?!
Au ikulu haimwamini moja kwa moja cdf na hivyo kuweka macho yake kila jamaa anapotia maguu?!
Au ndo kusema ushirikiano umeongezeka na hivyo kuunganisha mifumo Ili pande zote ziwe salama?!?!
Hata mimi nina pair kadhaa za kaunda suti za kisasa na hata madereva wengi wanaoendesha maboss huvaa kaunda suti. Acheni uzamani wa kuhisi kila mvaa kaunda ni mtu wa security.Kwamba kaunda za ikulu zinamlinda mkuu wa majeshi badala ya makomandoo wa jeshi?!
Ni kwamba mkunda hawaamini makomandoo wake hivo ameomba ulinzi wa ikulu?!
Au ikulu haimwamini moja kwa moja cdf na hivyo kuweka macho yake kila jamaa anapotia maguu?!
Au ndo kusema ushirikiano umeongezeka na hivyo kuunganisha mifumo Ili pande zote ziwe salama?!?!
Aliamini na haliamini ni maneno yenye maana tofautiView attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
CDF lazima awe na ulinzi kabambe! Ni kawaida nadhaniView attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Ulichofanya ni kunyanyua mkia wa mbwa dume ukaona kinachofichwa na huo mkia halafu ukauliza huyu ni⭐ ⭐ ⭐ ⭐Kaunda ni nini, suit za Kaunda? Sikuelewi please