Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

Ni pale ninapoona uandishi wa namna hii natambua kwa nini watu wenye akili zao waliacha kuchangia humu JF. Sometimes unabishana na akili zisijoua totauti ya "aliamimi" na "haliamini" halafu ukitoa mawazo juu ya kitu fulani cha kisomi ndio wanakuwa wa kwanza kukuambia hujui kitu wewe, na wanakukosoa!
Eti uandishi ndio unaomfanya mtu awe na akili? Una ego ya kijinga sana.
 
Acha kuonyesha ulivyo na elimu duni. Yaani hujui mtu anaweza kuandika kitu na mtu akajua kama mwandishi ni mtoto au mtu mzima, kichaa au sio kichaa, alielimika au hajaelimika?

Unafikiri kwa nini Vitabu vya kina Shaaban Robert, Chinua Achebe etc vinatumika na sio vya waandishi wengine?

Sasa kwa hii sentensi moja tu uliyoweka hapa juu tayari nimejua wewe ni mtoto ambae hujaelimika, hata elimu ya sekondari huna au hujamaliza, na kama uko sekondari sio zaidi ya form two. Nimekosea?
 
Kwamba kaunda za ikulu zinamlinda mkuu wa majeshi badala ya makomandoo wa jeshi?!
Ni kwamba mkunda hawaamini makomandoo wake hivo ameomba ulinzi wa ikulu?!

Au ikulu haimwamini moja kwa moja cdf na hivyo kuweka macho yake kila jamaa anapotia maguu?!

Au ndo kusema ushirikiano umeongezeka na hivyo kuunganisha mifumo Ili pande zote ziwe salama?!?!
😁😁
 
Hizo Kaunda ni makomandoo wa JWTZ toka Idara ya Usalama ya Jeshi, MIA.
Idara ya Usalam ya Jeshi ni moto wa kuotea mbali, hata TISS hawaoni ndani.
 
Acha kuonyesha ulivyo na elimu duni. Yaani hujui mtu anaweza kuandika kitu na mtu akajua kama mwandishi ni mtoto au mtu mzima, kichaa au sio kichaa, alielimika au hajaelimika?

Unafikiri kwa nini Vitabu vya kina Shaaban Robert, Chinua Achebe etc vinatumika na sio vya waandishi wengine?

Sasa kwa hii sentensi moja tu uliyoweka hapa juu tayari nimejua wewe ni mtoto ambae hujaelimika, hata elimu ya sekondari huna au hujamaliza, na kama uko sekondari sio zaidi ya form two. Nimekosea?
Wewe kweli ni mjinga, Unawezaje kutumia uandishi wa mtu kuamua kama ni mtoto au mtu mzima, mzee au kijana? Hivi unapata wapi mawazo haya? Unazidi tu kuandika utumbo, mzee.
 
Ukibishana na mtu mjinga asie elewa kitu, watu wataona nyote wawili ni wajinga. I rest my case.
 
Acha kuonyesha ulivyo na elimu duni. Yaani hujui mtu anaweza kuandika kitu na mtu akajua kama mwandishi ni mtoto au mtu mzima, kichaa au sio kichaa, alielimika au hajaelimika?

Unafikiri kwa nini Vitabu vya kina Shaaban Robert, Chinua Achebe etc vinatumika na sio vya waandishi wengine?

Sasa kwa hii sentensi moja tu uliyoweka hapa juu tayari nimejua wewe ni mtoto ambae hujaelimika, hata elimu ya sekondari huna au hujamaliza, na kama uko sekondari sio zaidi ya form two. Nimekosea?
Eti vitabu vya kina Shaaban Robert na Chinua Achebe? Wewe una matatizo gani? Unadhani ukitumia vitabu hivyo ndipo utaonekana umeelimika? Acha upuuzi, mzee inaonekana umesoma shahada ya ya Kiswahili, huna ujuzi wowote zaidi ya hapo.
 
Ukibishana na mtu mjinga asie elewa kitu, watu wataona nyote wawili ni wajinga. I rest my case.
You have a ridiculous ego if you think you can judge someone’s capabilities in a forum just because they made a spelling mistake in a sentence. Check your ego it might save you from looking foolish
 
Eti vitabu vya kina Shaaban Robert na Chinua Achebe? Wewe una matatizo gani? Unadhani ukitumia vitabu hivyo ndipo utaonekana umeelimika? Acha upuuzi, mzee inaonekana umesoma shahada ya ya Kiswahili, huna ujuzi wowote zaidi ya hapo.
Okay, mie nina shahada ya Kiswahili na mtu ambaye hana hiyo shahada ya Kiswahili anauliza ndio inanifanya nione nimeelimika? Sasa wewe unatumia shahada gani inayokuwezesha kutambua mie mwenye shahada ya Kiswahili sijaelimika katika kuchambua upuuzi wa ulichoandika?
 
🚮🚮
 
Back
Top Bottom