MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
- Thread starter
- #21
Nimeona ya Mabriefcase yenye zile bullet proof za kuzuia risasi kwa viongozi VIP
Nikajiujiuliza bado kuna homa ya uchaguzi, au kuna mgawanyiko (hata kama sio makubwa) au kuna taarifa za kiintelijensia kuwa baadhi ya askari (mmoja mmoja) hawaridhishwi na hawa wakubwa wao kwa kutochukua hatua October hivyo wako kwenye hunting.
Pia kwenye video hii Kaunda ya nyuma ya Generali ilikuwa inamaintain distance fulani na Jenerali kwa kuhakikisha story zinakuwa nyingi na huyo bakabaka hata kwa kukushikana mikono.