Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

Mkuu hamna askari wa kibongo wa kujitoa muhanga! Na kwa muundo wa jeshi hamna namna linaweza kufanya chochote zaidi ya kutumwa kulinda wanasiasa till infinity, wananchi raia ndio wanaweza kuleta change wakiondoa uoga otherwise hamna kitu chochote cha angalau kwa miaka 20-50, (yani kizazi hiki kizeeke na kuisha) au labda jumuiya ya kimataifa iamue kuinyima serikali pesa kwa umoja wao (isiwe wachache) kwa kuwa hatuna biashara ya nje ya maana ya kufund serikali dhalimu hii!
HUNA UNACHOJUA KUHUSIANA NA RESOURCES ZILIZOPO KWENYE NCHI HII. KWA TAARIFA YAKO TU, WATAALANU WANATANHIBISHA KUWA BADO HATUJA-EXHAUST HATA 10% YA KILICHOPO KWENYE ARDHI YETU.
 
HUNA UNACHOJUA KUHUSIANA NA RESOURCES ZILIZOPO KWENYE NCHI HII. KWA TAARIFA YAKO TU, WATAALANU WANATANHIBISHA KUWA BADO HATUJA-EXHAUST HATA 10% YA KILICHOPO KWENYE ARDHI YETU.

Yes nakubaliana na wewe kabisa wala sijabisha, mmeshagawa 10% unayodai na hizo 90% mtagawa tu hamna biashara mnayojua zaidi ya ugawaji wa rasilimali za taifa kila mnapoziona na mnapewa shanga tu, zamani ilikua na wazungu na wachina sasa hivi waarabu! Zinakusaidia nini wewe kenge hapo matombokuinama?

Sijaongelea ugawaji nimeongelea biashara mkuu, so upo out of context kabisa
 
Ramli zenu chonganishi zimefeli, zinafeli na zitafeli.
Kila siku mko online kuangalia nini kinaendelea.
Hali ya nchi iko shwari. Si kila jambo lazima ulijue, mengine pita kushoto
 
Hao watoto itakua wanatokea military intelligence department,sasa labda swali libadilike kuwa "kwanini wanao ambatana nae wamekuwa wengi" unaweza kukuta wengine wamepenyezwa hapo na mama report kwa boss mwingine
 
Back
Top Bottom