Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

View attachment 3558046

Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?

Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Wewe umeona nini kwenye picha?

Ni wapi huko; na hao waliopo kwenye picha ni akina nani?

Kichwa cha mada kinasema hivi: "Je ni Samia ndio (h) aliamini au..."

Kuna uhusiano gani wa hiyo picha na hayo maneno uliyoweka kwenye kichwa cha mada?

Umesoma hadi darasa la ngapi?

Unatishwa na hao waliovaa Kaunda suit?

Ngoja nikuchangamshe akili: Hiyo kazi unayowaza wewe hata Camillius Wambura anaiweza sana, mbona hujamhusisha? Kwani kinachotakiwa ni nini, si ni mitutu tu; haya michache kabisa inatosha kufanya kazi ya muda mfupi sana.

Inawezekana kabisa usielewe chochote!
 
Hajui hao anaowaita Wafanyakazi wa Ikulu ni wanajeshi wa JWTZ
 
Kwamba kaunda za ikulu zinamlinda mkuu wa majeshi badala ya makomandoo wa jeshi?!
Ni kwamba mkunda hawaamini makomandoo wake hivo ameomba ulinzi wa ikulu?!

Au ikulu haimwamini moja kwa moja cdf na hivyo kuweka macho yake kila jamaa anapotia maguu?!

Au ndo kusema ushirikiano umeongezeka na hivyo kuunganisha mifumo Ili pande zote ziwe salama?!?!
 
inafikirisha.
 
Hata mimi nina pair kadhaa za kaunda suti za kisasa na hata madereva wengi wanaoendesha maboss huvaa kaunda suti. Acheni uzamani wa kuhisi kila mvaa kaunda ni mtu wa security.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…