MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
- Thread starter
-
- #21
Nimeona ya Mabriefcase yenye zile bullet proof za kuzuia risasi kwa viongozi VIP
Nikajiujiuliza bado kuna homa ya uchaguzi, au kuna mgawanyiko (hata kama sio makubwa) au kuna taarifa za kiintelijensia kuwa baadhi ya askari (mmoja mmoja) hawaridhishwi na hawa wakubwa wao kwa kutochukua hatua October hivyo wako kwenye hunting.
Hunting namaanisha, baadhi ya askari (hawajajulikana wangapi na wako wapi) wanafikiria kujitoa muhangaHawa hawa askari wa kibongo wapo kwenye hunting? Utakua hulijui jeshi na hulka za watanzania mkuu sayuni!
Hunting namaanisha, baadhi ya askari (hawajajulikana wangapi na wako wapi) wanafikiria kujitoa muhanga
Tunaongelea muktadha wa hiyo mada mzee baba. Kaunda hizo hapo zinatafsiri ya ulinzi wa ikulu. Au ulishawahi ona cdf wa nchi hii amezungukwa na kaunda kabla ya hii ya Leo?Hata mimi nina pair kadhaa za kaunda suti za kisasa na hata madereva wengi wanaoendesha maboss huvaa kaunda suti. Acheni uzamani wa kuhisi kila mvaa kaunda ni mtu wa security.
Usikariri maisha, kaunda haina uhusiano wowote na ulinzi wa ikulu ila kwa kuwa mmekaririshwa hivyo na hampo tayari kupokea maarifa mapya basi haina budi tuwaache muendelee kujikaanga wenyewe.Tunaongelea muktadha wa hiyo mada mzee baba. Kaunda hizo hapo zinatafsori ya ulinzi wa ikulu. Au ulishawahi ons cdf wa nchi hii amezungukwa na kaunda kabla ya hii ya Leo?
Kama shida ni kaunda suti tuu basi kavae na wewe yakwako then nenda hata kwa mke wa mgunda nyumbani kwake kamsalimie, then piga nae picha utuletee mrejesho hapa.
Maana unaongea utafikiri akili zipo kwenye masaburi.
Ni pale ninapoona uandishi wa namna hii natambua kwa nini watu wenye akili zao waliacha kuchangia humu JF. Sometimes unabishana na akili zisijoua totauti ya "aliamimi" na "haliamini" halafu ukitoa mawazo juu ya kitu fulani cha kisomi ndio wanakuwa wa kwanza kukuambia hujui kitu wewe, na wanakukosoa!Kichwa cha mada kinasema hivi: "Je ni Samia ndio (h) aliamini au..."
Basi tufanye hao wenye kaunda suti kwenye hiyo picha ni wewe na wanywa kahawa wenzio mlikuwa mnapita njia. Usiku mwema.Usikariri maisha, kaunda haina uhusiano wowote na ulinzi wa ikulu ila kwa kuwa mmekaririshwa hivyo na hampo tayari kupokea maarifa mapya basi haina budi tuwaache muendelee kujikaanga wenyewe.
Jioni njema sheihkBasi tufanye hao wenye kaunda suti kwenye hiyo picha ni wewe na wanywa kahawa wenzio mlikuwa mnapita njia. Usiku mwema.
Ni pale ninapoona uandishi wa namna hii natambua kwa nini watu wenye akili zao waliacha kuchangia humu JF. Sometimes unabishana na akili zisijoua totauti ya "aliamimi" na "haliamini" halafu ukitoa mawazo juu ya kitu fulani cha kisomi ndio wanakuwa wa kwanza kukuambia hujui kitu wewe, na wanakukosoa!
Umenena vema sana Mkuu. Nadhani Maxence aligundua hilo akajaribu kuweka Forum ya Great Thinkers, ili angalau watu wenye maoni makubwa wawe huko. Lakini sidhani kama ni rahisi ku-filter hata hizi akili ndogo zinazopost thread za Abdul kafumaniwa na mke wa Waziri kumbe ni Abdul wa Ilala na Waziri wa Temeke, zisiende huko!Mkuu tunakwenda nao kibishi tu hivyohivyo kwa michango mifupifupi tu, JF siku hizi wachangiaji wenye uwezo wa kusoma au kuandika page 1 hawafiki 5% tunabaki tu hapa tusizeeshe akili, maana hamna kwingine japo tunaboreka sana, spelling errors kwa lugha ya mama je ya wengine? Tunachoka sana
be humble this is jf........Wewe umeona nini kwenye picha?
Ni wapi huko; na hao waliopo kwenye picha ni akina nani?
Kichwa cha mada kinasema hivi: "Je ni Samia ndio (h) aliamini au..."
Kuna uhusiano gani wa hiyo picha na hayo maneno uliyoweka kwenye kichwa cha mada?
Umesoma hadi darasa la ngapi?
Unatishwa na hao waliovaa Kaunda suit?
Ngoja nikuchangamshe akili: Hiyo kazi unayowaza wewe hata Camillius Wambura anaiweza sana, mbona hujamhusisha? Kwani kinachotakiwa ni nini, si ni mitutu tu; haya michache kabisa inatosha kufanya kazi ya muda mfupi sana.
Inawezekana kabisa usielewe chochote!
Hili ndio lilisemwa kuelekea October 29. Hakuna mtu atandama watanzania waoga.Mkuu hamna askari wa kibongo wa kujitoa muhanga! Na kwa muundo wa jeshi hamna namna linaweza kufanya chochote zaidi ya kutumwa kulinda wanasiasa tu! Till infinity, wananchi raia ndio wanaweza kuleta change wakiondoa uoga otherwise hamna kitu chochote cha angalau maana kwa miaka 20-50, (yani kizazi hiki kizeeke na kuisha)labda jumuiya ya kimataifa iamue kuinyima serikali pesa kwa umoja kwa kuwa hatuna biashara ya nje ya maana ya kufund serikali dhalimu hii!
Hili ndio lilisemwa kuelekea October 29. Hakuna mtu atandama watanzania waoga.
There is general security risk Africa yote na Tanzania ikiwemo hasa suala la vijana.
FYI nimeondoka Jeshini miaka zaidi ya 10 iliyopita kama Rubani kama ningekuwepo huko, hapa ungekuwa unazungumza na afisa mkubwa sana.
Kijana wa miaka ya 2000 kama aliingia Jeshini akiwa na miaka 18 maana yake leo anatimiza miaka 7 ndani ya Jeshi maana yake Jeshi letu ni maaskari vijana ambao sio politically aligned. Wengi wa askari wetu wameziona Siasa za upinzani wakiwa na utashi kamili.
Kusema hakuna hatari ni kujidanganya na kujipa matumaini mahali ulitakiwa kuangalia kwa umakini na fikra mpya
Huyo jamaa kwao ni bukoba misenyi uraia wake unaweza kua na changamoto ovaMkunda, hilo jina gani? oops nisije pewa life ban
Huu ni ukweli sasa tunajufunza kutengeneza drones hapo unatupia kamoja ka drone ππ
Iran inawapa moyo sanaHuu ni ukweli sasa tunajufunza kutengeneza drones hapo unatupia kamoja ka drone ππ