Si ndio hao hao wanaoita wanawake majina mabaya ,kuwatendea mabaya isipokua mama zao tu 😂 kuna mambo yanafurahisha sanaWanaume wanavyong'aka kupigwa mama zao, ilhali wao huwapiga mama za watoto wao ndo maana mwanaume hathaminiki na kuvuja jasho kooote ila mwisho wa siku anaimbwa nani Kama mama,
Kweli kabisa ❤️....mpangaji ni mungu na yeye anajua ni wakati gani hasa mtaruzukiwa mtoto....yaan kuna jamii nyingine inataka ndani ya mwaka mmoja Tu imo! Hatar sanaBora angewashauri hivo huenda angepona mama wa Watu, mimi ninachojua Watu hukaa hadi miaka 10 Ndio hupata au zaidi ya 10 Ndio hufanikiwa
Hizi shida zote ni ukosefu wa elimu na umaskini wa kifikra... Kwa wazazi wetu wengi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732]....wamama walichukia Kweli aisee....maana yule mama alikuwa na nundu paji la USO,Sijui alimpiga kichwa Cha USO...das[emoji17]
Humjui mama mkwe ananzungumziwa hapa hana.muda wa mazungumza na mkwewe kabisa tena kaja na pea moja tu ya kanga imeandikwa "nimekija kutembea sikufuata umbea" ikichafuka anafua usiku asubuhi anavaa utaongea naye Nini akusikilize?Kakosea sana kumpiga mama mkwe. Binafsi ningemuelewesha tu mama mkwe. Ningemwambia mama nitazaa tu. Na kule chumbani kwetu ningemuambia mme wangu tukatibiwe tujue tatizo ni nini ?
Nitamweleza. Asipoelewa hilo mimi si tatizo langu. Siwezi mtusi Wala kumpiga. Nitaaply njia ya Hannah. Nitamwomba Mungu na nina imani atanipa mtoto/watoto.Humjui mama mkwe ananzungumziwa hapa hana.muda wa mazungumza na mkwewe kabisa tena kaja na pea moja tu ya kanga imeandikwa "nimekija kutembea sikufuata umbea" ikichafuka anafua usiku asubuhi anavaa utaongea naye Nini akusikilize?
Kusema kweli me makelele hapana[emoji1787][emoji1787]Watu wamechoka na maisha aisee
Hakika angefurahi sana,angejua🤔Ni ngumu sana kuwaelewa binadamu wanataka nini hasa waswahili, mimi binafsi ni mkubwa yupo hapa hapa town lakini kuja kwangu ni issue haji mpaka niende kwake, basi hapo wife napo anamind anaona hapendwi mama mkwe wake haji kwetu.
Kumbe angejuwa ni jambo la kushukuru mama mkwe ambaye hana time na nyinyi mnamalizana kwenye simu au mpaka muende kwake.
🤣🤣🤣🤣 Hiyo kanga ni balaaHumjui mama mkwe ananzungumziwa hapa hana.muda wa mazungumza na mkwewe kabisa tena kaja na pea moja tu ya kanga imeandikwa "nimekija kutembea sikufuata umbea" ikichafuka anafua usiku asubuhi anavaa utaongea naye Nini akusikilize?
Hakika yaan🤣🤣Shida ni udhaifu wa mme. Alipaswa kuwadhibiti ndugu zake akiwemo mama yake na kumlinda mke wake.
Mama na dada zako lazima wajue kuwa ndoa yako haiwahusu na especially kama kuna changamoto za uzazi. Ukishindwa kufanya hivyo, ndoa zako zitakuwa na changmoto kila siku. Leo kwanini hamleti mjukuu, kesho mbona mjukuu amekonda sana, mara mlete kwa babu kuna tambiko!
🤣🤣🤣🚴🚴Hizi shida zote ni ukosefu wa elimu na umaskini wa kifikra... Kwa wazazi wetu wengi..
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app