Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Umekua neutral sana, ni sheria za nchi na sio mama au mkwe..

Kosa ni hilo mkuu, ila sio kupigwa mama mkwe, anyooshwe tu kama anazingua..kwani mtoto ndio kila kitu kwenye dunia, pia tu hajielewi.
🤣🤣
 
Kuishi na mama mkwehome yataka moyo

Wala! Inategemea na Akili ya mume.
Mume akiwa Smart mbona mnaishi tuu.
Mume awe na uwezo WA kumuambia Mama ukweli.
"Mama wewe sio mke wangu, mke wangu ni to yeye. Hii ni familia yangu. Mimi ndio mume na Mwanaume pekee humu ndani. Wote mtafuata Oda zangu. Baki kwenye nafasi yako kama Mama"

"to yeye wewe sio Mama yangu, wewe ni mke wangu. Wewe ndiye mama wa familia hii. Kabla sijakuoa nilikufundisha Kupenda Haki na uadilifu. Na nilikuoa baada ya kuthibitisha kuwa unaweza kutenda haki na sio vinginevyo. Mtendee haki Yeyote aliyekuwa humu ndani Kwa nafasi yake. Pia usikubali kuonewa na kunyamazia mambo ikiwa unaona hayaendi sawa"

Waambie kabisa nyumbani kuwa mtu yeyote ambaye hatatenda haki ATAONDOKA bila kujali nafasi yake.
Atakayeweza kufuata haki na sheria za hapo nyumbani atadumu Kwa Raha mustarehe.

Kuwa Mama hakukufanyi usifuate sheria na. Kutotenda haki katika nyumba yangu.
Kuwa Mke hakukufanyi usifuata niliyoyaagiza.

Huyu ni Mama yangu
Wewe ni mke wangu na Mama wa watoto wangu.
Kila mtu ananafasi kubwa katika maisha yangu. Lakini haimaanishi nafasi hiyo ndio mniletee ushetani katika nyumba yangu.
Waambie huwezi ishi na Shetani nyumba moja.

Be a Man, not like a man
 
Sheria za nchi haziruhusu kupiga mtu(kushambulia)
Na hapo ndipo yanaibuka mengi ya ovyo.
Sisi Kijijini kwetu miaka ya nyuma palikuwa na Baraza la kuwatandika wakorofi. Mtu hata kama ni mtu mzima na ana familia, akifanya ovyo mfano hatunzi watoto au mwizi anatandikwa mbele ya umma.
Ni aibu lakini ilirekebisha tabia.
"Many people are alive just because it is illegal to shoot them" John Wayne.
 
Walishaenda hospitali kujua tatizo ni Nini?, Mitaani watu wamezoea kuwa mke asiposhika ujauzito tatizo huwa ni la mke ila sometimes huwa ni vice versa.
 
waende wakapime waone nani mwenye matatizo
 
Walishaenda hospitali kujua tatizo ni Nini?, Mitaani watu wamezoea kuwa mke asiposhika ujauzito tatizo huwa ni la mke ila sometimes huwa ni vice versa.
Utashangaa ni kidume haifunction😜
 
🤣🤣🤣🤣Umetisha
 
Hakika umeongea ukweli mkuu
 
Bora angewashauri hivo huenda angepona mama wa Watu, mimi ninachojua Watu hukaa hadi miaka 10 Ndio hupata au zaidi ya 10 Ndio hufanikiwa
Ukiona ndoa imekaa miaka yote hiyo na hakuna watoto wa inje basi ujue mwanaume ndio mwenye shida.
 
Hapo hakuna ndoa Tena.
Huwezi mpiga mama yangu hata Kama kakukera kiasi gani.!!
 
Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndio angekua mtoto wake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?

Na hapo ukute mwanaume ndio anashida.
Upo sawa kabisa. Suala la mtoto ni suala la pana. Ila kibongo bongo tulishakariri kuwa mwanamke ndio ana shida siku zote.

Aisee mimi hata angekua mama angu kashakula mabanzi mawili matatu ningeamua ugomvi nikaulia kimyaaa. Wazazi na ndugu wa kibongo ni wazuri sana kuvunja ndoa za watum
 
Sana,wanataka unaemwoa wampende wao kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…