Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Kumpiga mtu na kutumia lugha ya matusi ni kosa la jinai kisheria.
 
Huyo dada angekuja kwangu ningemtia mimba na angeenda kumshikisha huyo mume wake.
Nina wasiwasi na mwanaume kutoweza kutia mimba.
Kama kuna mwanamke mwenye changamoto ya kupata mimba ajongee PM.
Maisha ni kusaidiana.
 
🤣🤣 Ili umtomb€
 
Na kizazi Cha sasa watoto kupatikana ndoani ni Kaz,ila michepukoni au hamjaoana ndo hupatikana chap.Shetani hapendi ndoa kabisa

Ndoa nyingi zinafungwa watu wakiwa na umri mkubwa. Binti anaolewa akiwa na 28 ama 30. Binti kama huyo kushika mimba sio rahisi kama binti wa miaka 18 ama 20.

Mume pia anafunga ndoa akiwa above 30. Sperm quality za mwanaume above 30 hazipo sawa na sperm quality za mwanaume wa miaka 18 ama 20
 
Mbona hao ni watoto sasa
 
Mbona hao ni watoto sasa

Mwanamke wa miaka 20 sio mtoto.
Angalau mwanaume sperm inabeba mbegu nyingii ndio maana unaweza zalisha hata ukubwani.

Ila kwa mwanamke anavyozidi kuchelewa kuzaa mtoto wa 1 ndipo anazidi kujiongezea ugumu wa kubeba mimba na kuzaa
 
Sawa,mekuelewa mkuu🙏
 
Yani wewe Umesikia tu unampiga makofi... Kuna sister alikuwa anapigiwa simu kabisaa anaambiwa ni mgumbaaa ila Sema alikuja kujifunguaaa
 
Back
Top Bottom