Kifo kinasuasua mpaka kimekuruhusu uwepo JF.Kifo!! Hakina kasoro Wala upendeleo...... Vilivyobakia vyoote ni ubatili
Sent using Jamii Forums mobile app
We kwel mada ujaielewa ivy unavyoambiwa kiumbe hai unakijua kwel we au unasema tu kitu ambacho ukujui acha kukufulu we mungu anaonekan na kuhusu jwe unausibitisho gani kama jiwe kiumbe haiWewe hujui hata wewe ni KITU??
Wewe ni kitu chenye uhai pia unajitambua lakini jiwe ni kitu kisichojitambua japo pia kinao uhai wa aina yake, hiyo ndio tofauti.
Aah, unalazimisha nitaandika, ukiulizwa lini huwezi hata kuweka tarehe.Ukilazimishwa si utatapika.
Jua tu kuwa utaandika si kwa kulazimishwa bali kwa kulazimika.
Hayo mambo ya kuweeka tarehe na saa ni kama ule utoto wa kusema tupinge.
Hewa safi na hewa chafu ndiyo sababu ya respiration mechanism ya wewe kuishi, maana ili moyo ufanye kazi inatakiwa usafishe hewa uliyovuta ndani ya mwili ukiipeleka katika damu na kutoa hewa chafu ili uingize tena hewa nyingine kuratibiwa upya kama awali.Hewa ina kasoro,kuna hewa safi na hewa chafu,Air pollution.
Watu wanashindwa kutuambia kama Mungu anaweza kuumba jiwe kubwa asiloweza kulibeba. Wanasumbua sana mahakama.Aah, unalazimisha nitaandika, ukiulizwa lini huwezi hata kuweka tarehe.
Halikadhalika nawe kasoro yako ipo katika jina lako bandia sawa na mimi wala si jina halisi [emoji143][emoji2960]Kasoro yako ipo kwenye uandishi wako.
Mi badala ya Mimi.
Unaweza kuthibitisha kuna aliyekiratibu au unarudia mafundisho ya dini yako tu?Una uhakika gani kuwa kinamvizia mmoja mmoja, ikiwa aliyekiratibu ndivyo alivyoona kinampasa kutenda hivyo we ni nani hadi ukikatalie hakina ukamilifu?
Mpe sub hio Omega uwe wewe walau kwa zama hizi uokoe majangaKwanini yeye ni Alfa na Omega? Hii ndiyo inamfanya asiwe na kasoro?
Kwanini yeye asiwe zaidi ya Omega?
Jikune nawe tuone kama utaweza kukaa siku 40 usiku na mchana bila kunywa hata kahawa kama kweli Yesu alishikwa na njaa wala si kufunga kiimani [emoji23]Yesu anamapungufu pia maana njaa ilimshika pia
Tumekubaliana sasa. Halafu Mungu anaweza akaumba jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?Mpe sub hio Omega uwe wewe walau kwa zama hizi uokoe majanga
naona mlikuwa pamoja mkipiga stori za mzee YUDAJikune nawe tuone kama utaweza kukaa siku 40 usiku na mchana bila kunywa hata kahawa kama kweli Yesu alishikwa na njaa wala si kufunga kiimani [emoji23]
Kwanini tusiwe kama Eagle tupae juu zaidi tutandikwe na jua kisha tushukie miamba/milima tujibamize tuwe wabishi badala ya kutufananisha na huyo adui yetu aliyelaaniwa kuwa tutamponda kwa mawe naye atatung'ata visigino?Ilitakiwa tuwe kama nyoka tunajivua gamba tunakuwa juvenile.
Ndio ukubwa wake anabeba yeye tuTumekubaliana sasa. Halafu Mungu anaweza akaumba jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Swali limekushika pabaya sana...[emoji1]Hili swali halina uhusiano na kasoro ya kifo.
Yani ni kama nakwambia hili bomu lina ufanisi wa kuua dunia nzima kwa sekunde moja.
Halafu wewe unaniuliza, likiua watu wote, nani atamzika mwenzake?
Hata watu wakishindwa kuzikana, hilo ni jambo tofauti ambalo halikanushi kwamba bomu limeua watu wote kwa pamoja.
Nakuzingua tu mkuu. Wewe ni Platinum.Aah, unalazimisha nitaandika, ukiulizwa lini huwezi hata kuweka tarehe.
Kama hawezi kuumba jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba hiyo ni kasoro kwake.Ndio ukubwa wake anabeba yeye tu
Unapomomonyoka unaenda wapiUdongo unamomonyoka kutokana na hali ya hewa.
Huyo mapungufu alikuwa nayo tangu azaliwe ndiyomaana alichomwa sindano za kumrefusha kiwango.Lionel MESSI La pulga G.O.A.T
Hana mapungufu,ameshinda makombe yote.
😛
Unaenda sehemu ambayo haukuwepo.Unapomomonyoka unaenda wapi