Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Hakuna kitu kinachokuwa subject ya time chenye 100% efficiency.

Kwa sababu, with time, everything breaks down.
100% efficiency maana yake kitu hakifi, hakiumwi, hakiharibiki.

Namba zako hapo juu.
1.Level ya juu sana kwenye ufanisi labda. 100% efficiency no. Tofautisha "most efficient" na 100% efficient.
2. Quantum systems are intrinsic probabilistic, so they can't have 100% efficiency.

3.Ukiangalia Quantum computers sasa hivi wanapata tabu sana kutengeneza kwa sababu ki movement kidogo tu kinaharibu computer.So you can't have that as an efficient system. Lakini hata uki solve practical problems, Qquantum computers zinaweza kuongeza efficiency sana, lakini hiyo haimaanishi zitakuwa na 100% efficiency.
Zinawez akufanya kazi ya miaka milioni moja ifanyike ndani ya masaa 24, but that is not 100% efficiency, kuna energy itapotea kama joto, kutakuwa na seek time, kuna speed of light barrier etc

Nothingness, kinadharia, inaweza kuwa na 100% efficiency.

Kwa sababu.

1. Haipo. Kwa kuwa haipo, haiwi subject kwa kitu chochote. Time, space, quantum fluctuations, the expansipn of the universe, energy fields etc. So, in theory, nothingness can have 100% efficiency at being nothingness.
2.The moment nothingness deviate from nothingness and no longer has 100% efficiency at being nothingness, it is no longer nothingness, that deviation disqualifies it from being nothingness.
3. Nothingness has the lowest possible entropy. The lower the entropy, the more order and perfection, so the lowest possible entropy = perfection, it can't get more perfect than that. You can't take anything from nothingness and make it less than nothingness.
 
Kasoro yake ni moja tu, hakina huruma. Hasa pale kifo kinapowachukua watoto waliozaliwa, hawana hata muda mrefu duniani. Hawajatimiza kusudi la maisha yao, kifo kinawabeba
Tatizo kifo chenyewe ni fumbo kwa kutojua roho ya Mtu huenda wapi akishakufa, laiti tungekuwa tunajua kuwa roho ya Mtu huenda pazuri zaidi kula bata kuliko katika hii sayari huenda kila Mtu angetamani kufa hata bila ya kutaka kuishi kwa siku hata 1 tu katika hii dunia [emoji16]

Cha ajabu hata nguvu itusababishayo kuishi "uhai/roho" nayo tumefumbwa maana tunaihisi tu lakini hatuwezi kuiona wala kuishika....[emoji38]

Pia tumefumbwa kabla ya kuzaliwa tulikuwa tunaishi wapi na namna gani tunaumbwa hadi kuwa viumbe hai daaah...unaweza kustaajabu ukuu wa Mungu hadi Watu wakahisi we ni Kichaa [emoji23][emoji137]

Hakika Mungu ni Mbabe.......[emoji28][emoji119]
 
Unpredictability is not perfection.

Logical non sequitur.
 
UUNGU wa Yesu "hakuna kilichoumbwa pasipo au kupitia yeye"
 
Sex unajiua huku unajiona.

Madini unayopoteza ukifika kileleni "chromosomes" ni mengi sana na muhimu mno katika afya yako.

Wataalamu wanadai goli 1 ni sawa na Mtu aliyekimbia KM 7.

Wale tunaosimamia kucha hadi goli 3 mara 2 kwa wiki 1 = KM 42 kwa Ke mmoja.

Tukitoa ile wiki ya Ke kuwa ktk hedhi inamaana kwa mwezi mmoja = KM 126.

Ke wawili + Mchepuko mmoja = KM 378 kwa mwezi mmoja tu.

Ke watatu kwa mwaka mmoja = KM 4, 536/=

Wataalamu wanadai unatakiwa uwe unapata vyakula vya kujenga mwili (nutritional foods) siyo kujaza tumbo angalau kwa wiki 1(7days) ndipo utaweza kurudisha goli 1 lenye uwezo wa kutungisha ujauzito.

Mfano wa vyakula vya kujenga mwili ni;

  • Supu ya samaki/kuku wa kienyeji.
  • Maziwa.
  • Asali mbichi ya nyuki wadogo.
  • Matunda (
  • Mboga mboga.
  • Mchanganyiko wa unga wa mahindi, mtama, ulezi, uwele, ngano, mchele.
  • Vyakula vya mbegu mbegu "soya, maharagwe, dengu, kunde, choroko, mbaazi, ngegere, njugu mawe, korosho, karanga mbichi, ufuta.
  • Tende, nazi nk.

Swali, kwa maisha yapi wa-TZ tuliyonayo hadi tuwe na uhakika wa kugharamia mlo kamili kama huo?

Wakuu dunia ni pana sana na elimu ya maarifa ni zaidi ya bahari hapa ulimwengu ni [emoji1732][emoji847]
 
Hata Yesu mwenyewe hakuwa na ukamilifu wa kimungu 100% ndo maana bado alikuwa akimtegemea Mungu mwenyewe...
 
Images can never be used for such analysis...it's just theories
 
Images can never be used for such analysis...it's just theories
Sawa, hata haya maandishi hapa ni images tu, it's just theories, kwa hiyo acha kujibizana na mimi.

Kwanza hata sipo, it's just theories.
 
Hakuna kitu kinachokuwa subject ya time chenye 100% efficiency.

Kwa sababu, with time, everything breaks down.
100% efficiency maana yake kitu hakifi, hakiumwi, hakiharibiki.
Sijaua kama umenielewa, achana na hayo mambo ya sijui ya kufa sujui kuharibika hatuongelie viumbe hai. Mimi nadharia zangu zime base kwenye physics ambapo ukisema thermodynamic hapa tunaongelea uhusiano ulipo kati ya heat, energy na work. Ukija upande wa quantum systems hii ina inaelezea tabia za matter na energy kwenye viwango vya atom na subatomic level (behavior of matter and energy at the atomic and subatomic level) sio mambo ya kufa na kuharibika
Namba zako hapo juu.
1.Level ya juu sana kwenye ufanisi labda. 100% efficiency no. Tofautisha "most efficient" na 100% efficient.

quantum systems can be isolated from the environment in a way that no energy is exchanged with the environment and no dissipation occurs, it's known as closed quantum system and they are considered to be the only systems that could have 100% efficiency.

2. Quantum systems are intrinsic probabilistic, so they can't have 100% efficiency.
skiza mkuu, labda tuseme kuna swich ya umeme inaweza kuwa OFF na ON, hii swich kwenye QS kwa wakati mmoja iyo swich inakua ipo ON na ipo OFF. Before the event ya ku predict. Ili kitu kiwe sanifu kwenye QS inabidi kiwe na hali zote mbili kwenye state kabla ya probability ya labda kipo ON ue OFF (Mambo ya Bayesian probability tutawapoteza watu)
Mkuu bado tupo kwenye stage ya tafiti, quantum computer bado sana. Ndo tupo kwenye stage za mwanzo processor za quantum computer
Sijajua mkuu labda hauna backgraound ya ya mambo ya pyhsics hasa advance
 
* Vipi kama wewe mwenyewe ndiye Kiranga kupitia fake ID, tukuaminije?

* Pia umefanya lini uchunguzi wa wana JF wote na kupata ushahidi wa unachokisema?

* Muda upi ulitumia?

* Njia/methodology ipi ulizotumia?

* Mbinu/techniques zipi ulitumia?

* Eneo gani/case study ulitumia?

* Walengwa wapi uliwafikia?

* Maswali yapi uliyatumia?

* Viambatanisho vya machapisho yapi/Reference zipi ulitumia?

* Title/Kichwa kikuu cha mada gani ulitumia?

* Akina nani waliosimamia zoezi zima la utafiti wako( ni nani na lilipitia ngazi zipi kutathmini Title, Proposal na Dissertation climax)?

NB:

Sijaweka vigezo vyote vyakufanya utafiti sababu ya muda, bado naendelea kujifunza vitu hapa kupitia jumbe za Watu mbali mbali.

Huna unachokijua na hupaswi kuhukumu Mtu yeyote humu, huna haki ya kuwakikishia Watu kuwa Kiranga ana akili zaidi kupita Watu wengi humu JF kwa makadirio ya Watu 10 tu bila utafiti na ushahidi wowote ule.

Una uhuru wa kujadili hoja ila usivuke mipaka kujisahau na kujiona unajua zaidi kuliko wote humu JF.

Kujiona kwako unajua zaidi kuliko wote humu JF ndiyo kasoro yako yenyewe hiyo, badilika haraka sana...chukua hatua...haki elimu [emoji375][emoji375].
 
.
 

Hakuna zaidi ya kifo
 
Maoni ya wana jamii forum yana chekesha sana.

Vipo vitu kadhaa havina kasoro, yaani vyenyewe tu kuwepo kwake ni ukamilifu, Kuna mmoja anasema kifo ni kasoro ukisoma anachokiandika anadhihirisha hakijui kifo. Kufa mmoja mmoja huo ni utaratibu tu ushawekwa sababu kila kiumbe kina muda wake wa kufa.

Vitu ambavyo havina kasoro ni :

1. Mola muumba

2. Sifa zake, majina yake na matendo yake

3. Uislamu

4. Vitabu vyake yaani Msahafu wa Ibrahimu, Taurati ya Musa, Zaburi ya Dauti, Injili ya Issa na Qur'aan ya Muhammad

5. Muda hauna kasoro, Kuna mtu anajenga hoja ya Time dilation, Sasa time dilation Ina mafungamano gani na muda ?

6. Njia walizotumia mitume na manabii kufikisha ujumbe hazina kasoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…