Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Kiranga ni mtu safi sana wa kupanuana mawazo. Tatizo lake kubwa ni kupinga kila hoja akidhani kuwa yeye ni sahihi zaidi kuliko wengine.
Akiona amebanwa sana na maswali, anaanzisha hoja nyingine ili kuvuruga majadala tangulizi.
 
Ulimwengu wa roho
Muda na wakati
Pumzi
 
Mimi nitukane matusi yote wala hayanipunguzii chochote isipokuwa ukweli upokee kama ulivyo tu [emoji16]
 
Sawa, hata haya maandishi hapa ni images tu, it's just theories, kwa hiyo acha kujibizana na mimi.

Kwanza hata sipo, it's just theories.
Hakuna scientific fact yoyote kuhusu jua,ni nadharia tu kwamba baada ya miaka 9b halitokuwepo,au lilitokea miaka 5b iliyopita...ni yaleyale tu ya binaadam alikua nyani akanyumbulika Hadi kuwa ngulumbili mwenye fikra pevu,ni guesswork
 
Hakuna kitu chenye kasoro hapa duniani. Kila kitu kipo katika ubora wake kamili. Haijalishi, hata kama hujakipenda, lakini kila kitu kiko kwenye utimilifu wake. Kasoro za mapokeo yako dhidi ya kitu fulani, kusiathiri utimilifu wake.

Vitu vyote viko kwenye ubora wake. Hakuna kasoro.
 
Kumbe mambo ndio yako hivyo?
 
Hakuna kifo pasi na muda.. Muda ndio master of universe.
Ukitaka kukwepa kifo, kwepa muda.
Hahahahaah!

Sasa ukikwepa muda si ndio hautaexist kabisa.

Maana time is a measure of existence kwa sisii viumbe, without time we do not exist- According to muvi Lucy

Lakini tena without time that ting is limitless aah tuyaache hayo. Lakini jua tu ukiushinda muda hautaexist tena kama kiumbe.
 
It is true, as you appose the Existence of God, that implies (in your imagination) God is a mere nothingness and so perfect.

Nothingness=perfection, God is perfect and can create every thing from the nothingness.
Very very true hapa umetumia kuvaa viatu vya Kiranga safi sana.

Amesema nothingness is perfect and we all agree.

Let me add nothingness is in everything; songa aliwah sema 'sifuri ndo ya kwanza, moja ni ya pili'

Na Kiranga nadhani haikatai kusema kwamba kwa kila kitu kilichopo kuna utupu. Nothinngness is in everything. Lakini pia haikatai kusema kuwa kila kilichopo kipo katika utupu. Yaani everything sits over nothing.

Ndiyo uelewe somo kwamba sisi ndani yake naye ndani yetu.

Everything is nothing and nothing IS everything. Smell a contradiction sir? Hahahahaaah utaerewa tuu🤣🤣.
 
If God is nothing how did He manage to create out of nothing? Nothing doesn't exist then God doesn't exist! God is just pure imagination in your mind.
 
Hapa unalazimisha.

If nothingness does not exist, how can everything have nothingness?

Kinadharia unaweza kusema hivyo, lakini practically, nothingness and something cannot coexist.

You either have something or you have nothingness (non existence). These two cannot coexist at the same time at the same place.

Because nothingness does not exist. You can't have both existence and non existence.
 
Hakuna scientific fact yoyote kuhusu jua,ni nadharia tu kwamba baada ya miaka 9b halitokuwepo,au lilitokea miaka 5b iliyopita...ni yaleyale tu ya binaadam alikua nyani akanyumbulika Hadi kuwa ngulumbili mwenye fikra pevu,ni guesswork
Ukiondoa habari za jua kuna scientific fact yoyote? Au sayansi yote ni uongo pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…