Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Huna uthibitisho wowote kwa sababu hata Mungu humjui.Fungua is uzi mwingine kuhusu Yesu ni Mungu nikujibu inavyopasa kiuthibitisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna uthibitisho wowote kwa sababu hata Mungu humjui.Fungua is uzi mwingine kuhusu Yesu ni Mungu nikujibu inavyopasa kiuthibitisho.
Kiranga ni mtu safi sana wa kupanuana mawazo. Tatizo lake kubwa ni kupinga kila hoja akidhani kuwa yeye ni sahihi zaidi kuliko wengine.You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.
Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.
Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.
Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.
Najifunza mengi kupitia Kiranga
Situlikubaliana YESU kafa alafu siku ya tatu kafufuka? Au tulipigwa paleUna uhakika gani hujafa ilihali hakuna aliyewahi kufa akajitambua kuwa amekufa na kuwaeleza Watu kuwa ameshakufa?
Ulimwengu wa rohoNatafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Mimi nitukane matusi yote wala hayanipunguzii chochote isipokuwa ukweli upokee kama ulivyo tu [emoji16]Huyo ni troll anaugulia kuwa kwenye ignore list.
Kujibizana nami ni privilege, sio right.
Naweza kuiondoa muda wowote kwa mtu yeyote.
Mtu akishusha viwango vya mazungumzo na kunikosea heshima ya kawaida tu, namuweka ignore list bila kuona tabu.
Hususan nikiona troll analeta ugomvi na tunaenda kutukanana na kuchafua mazungumzo tu.
Augulie tu maumivu ya ku abuse privilege ya kujibizana nami.
Bonge la hojaUumbaji
Pale kipofu anapojiona anaweza kumuongoza kiwete [emoji23]Huna uthibitisho wowote kwa sababu hata Mungu humjui.
Mada umeivamia ilikuwa inamuhusu huyo atheist anayejiona kakamilika katika kujua kila kitu...kama wewe ni yeye kupitia fake ID sawa [emoji56]Situlikubaliana YESU kafa alafu siku ya tatu kafufuka? Au tulipigwa pale
NImekuwa kipofu tena leo!!! Aha wewe kiwete tuambie Mungu ni nini?Pale kipofu anapojiona anaweza kumuongoza kiwete [emoji23]
unajungumzia lile jiwe la chato ama?Jiwe
Hakuna scientific fact yoyote kuhusu jua,ni nadharia tu kwamba baada ya miaka 9b halitokuwepo,au lilitokea miaka 5b iliyopita...ni yaleyale tu ya binaadam alikua nyani akanyumbulika Hadi kuwa ngulumbili mwenye fikra pevu,ni guessworkSawa, hata haya maandishi hapa ni images tu, it's just theories, kwa hiyo acha kujibizana na mimi.
Kwanza hata sipo, it's just theories.
Hakuna kitu chenye kasoro hapa duniani. Kila kitu kipo katika ubora wake kamili. Haijalishi, hata kama hujakipenda, lakini kila kitu kiko kwenye utimilifu wake. Kasoro za mapokeo yako dhidi ya kitu fulani, kusiathiri utimilifu wake.Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake.
Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake.
Kama ni elimu zote zina mapungufu ndani yake, zimekosa majibu mengi.
Kama ni sera za vyama, sera za vuama vyote vimejaa mapungufu
Kama ni kazi za sanaa, zote zina kasoro.
Kumbe mambo ndio yako hivyo?Hakuna kitu chenye kasoro hapa duniani. Kila kitu kipo katika ubora wake kamili. Haijalishi, hata kama hujakipenda, lakini kila kitu kiko kwenye utimilifu wake. Kasoro za mapokeo yako dhidi ya kitu fulani, kusiathiri utimilifu wake.
Vitu vyote viko kwenye ubora wake. Hakuna kasoro.
Hahahahaah!Hakuna kifo pasi na muda.. Muda ndio master of universe.
Ukitaka kukwepa kifo, kwepa muda.
Very very true hapa umetumia kuvaa viatu vya Kiranga safi sana.It is true, as you appose the Existence of God, that implies (in your imagination) God is a mere nothingness and so perfect.
Nothingness=perfection, God is perfect and can create every thing from the nothingness.
Hapa unalazimisha.Very very true hapa umetumia kuvaa viatu vya Kiranga safi sana.
Amesema nothingness is perfect and we all agree.
Let me add nothingness is in everything; songa aliwah sema 'sifuri ndo ya kwanza, moja ni ya pili'
Na Kiranga nadhani haikatai kusema kwamba kwa kila kitu kilichopo kuna utupu. Nothinngness is in everything. Lakini pia haikatai kusema kuwa kila kilichopo kipo katika utupu. Yaani everything sits over nothing.
Ndiyo uelewe somo kwamba sisi ndani yake naye ndani yetu.
Everything is nothing and nothing IS everything. Smell a contradiction sir? Hahahahaaah utaerewa tuu🤣🤣.
Ukiondoa habari za jua kuna scientific fact yoyote? Au sayansi yote ni uongo pia?Hakuna scientific fact yoyote kuhusu jua,ni nadharia tu kwamba baada ya miaka 9b halitokuwepo,au lilitokea miaka 5b iliyopita...ni yaleyale tu ya binaadam alikua nyani akanyumbulika Hadi kuwa ngulumbili mwenye fikra pevu,ni guesswork