daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kosa ni kukutwa chumba cha malayaKUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.
Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Kufanya magendo ya kununua nanilii...Sasa hapo ana kosa gani kisheria?
Kama huna mke je?Kufanya magendo ya kununua nanilii...
Ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?Kosa ni kukutwa chumba cha malaya
Mwanaume usikubali kulala chumba cha malaya, mpigie simu aje kwako au mkutane lodge
Mkuu unamaanisha iende mahakamani?Akomae kesi iende polisi uone polisi watakavyokimbiana
Kagoma kudhaminiwa kaomba alale mahabusu leo, kesho wampeleke mahakamaniKamtolee dhamana
Siyo kosa. Na ninadhani ndiyo sababu hasa iliyowafanya polisi kutotaja habari ya kulala na kahaba kwenye kosa wanalomtuhumu nalo jamaa yako..!!KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.
Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Kama hakuwa kwake huyo ni mzembe aliyekuwa anazurula.Alipenda sana "Tokopembamaswaa" ila zenyewe zimempeleka lupango.Koh!koh!yaw...yaw!KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.
Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Asilete utani.Atapata adhabu ya miezi kadhaa na faini.Ngoja akili zimkae sawa.Kagoma kudhaminiwa kaomba alale mahabusu leo, kesho wampeleke mahakamani
Kwani malaya wa kwenye hivyo vibanda, kuna sehemu wameweka tangazo kuwa kuna biashara wanauza?Kufanya biashara bila keseni ni kosa,hao malayer hawana keseni ya biashara
Ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
Umefafanua vyemaKwani malaya wa kwenye hivyo vibanda, kuna sehemu wameweka tangazo kuwa kuna biashara wanauza?
Hivyo vibanda ni makazi duni ya raia.
Sasa kuwakuta chumbani hata kama wanafanya mapenzi live ni kosa kisheria?
Ndiyo swali la mantiki ya mleta uzi.
.Ni kosa kwa mujibu wa sheria ipi?
Kwani wameandika mbunye inauzwa hapa?Kufanya biashara bila keseni ni kosa,hao malayer hawana keseni ya biashara
Muacheni mtamtoa Mahakamani mtamlipia faini elf 50 pia Mwambie Uzinzi ni dhambi inayoua mwili na Akili na wale wahaya Ni majini sio watu wakawaidaKagoma kudhaminiwa kaomba alale mahabusu leo, kesho wampeleke mahakamani