Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

❤afu eti ule kondoo wako kweli? Waambie wajibu swali ipasavyo....kwamba je,MTU anaweza zurura chumbani kweli?
Kutembeatembea au kuzubaazubaa kwenye chumba/eneo lisilo lako bila kutoa maelezo shawishi kuhusu uwepo wako huo ni purely uzurulaji.Bila kujali muda.Halafu,kuna muendelezo,muongozo na ushahidi wa kimazingira utakupunyua tu.Haiwezekani uelezee watu wazima kwamba ulienda kununua bamia kwenye duka la vipuri vya magari.Utaleta some laughters.Teh teh!
 
😂😂😂tulia wewe
 
Nani kawahi kufungwa kwa namna hiyo? Malaya wanafungwa ni wale wanaojiuza mabarabarani, wale wenye mageto yao labda wakamatwe wakiwa nje. Nao hawafungwi kwa kosa la ukahaba, ila uzururaji
 
Nadhani kuithibitishia mahakama kwamba mtu ni kahaba ni ngumu.
Kama huo mtaa na hizo nyumba ni za kuuziana utamu si wawakamate wakawafunge hao wanaouza?
Hawawakamati na kuwafunga kwasababu hakuna Sheria itakayowabana maana wamepanga hivyo vyumba na wanalipa kodi ni makazi Yao na hakuna Sheria inawakataza kuwa na wapenzi wengi.

Muhusika kama anaweza kuwa nashahidi ambae ni huyo dada na dada akakiri kwamba huyo ni mpenzi wake na ndio mara ya kwanza kamtembelea kwake si ni kesi imeisha .
 
Unakula sahani moja na wakuu lazima ukutanishwe japo na kakijikesi
si umesikia yule mkubwa amekufa akitoroka pisi huko kaskazini.....
 
Back
Top Bottom