Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia.
Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran.
Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise ambayo mungu aliitoa kwa watu watakaokufa na kwenda mbinguni, maelekezo mengi yalikua centred kwa waisraeli na makabila yake, ni ahadi za mungu exclusively kwa waisraeli. Ahadi nyingine ilikua ni ujio wa masia. Pia kwenye agano la kale mungu alikua mkatili sana, mwenye hasira na asie na huruma, uki mess up umekwisha. No mercy.
Agano jipya akaja Bwana Yesu, yeye mafundisho yake 99.9% yalikua centred kwenye upendo, kupendana, kuhurumiana na pia ahadi ya waumini wake kwenda Mbinguni kumuona Mungu. Kuonyesha mungu anatupenda watu wake, anatujali, tutubu, tuombe toba, nk. Agano hili lilionyesha mungu kama aleijaa upendo, huruma na msamaha.
Mafundisho mengi kuhusu Mbinguni aliyatoa Bwana Paulo kwenye agano jipya na ahadi nyingi za mbinguni zinaongelea kuimba na kucheza na kufurahi na kufutwa machozi ya kupumzishwa na adha na madhira ya Duniani.
Ukija kwenye Quran, ama updated version ya Agano jipya unakutana na vituko kidogo, kwanza Mungu anaonekana yuko so frasturated, amechanganyikiwa, amevurugwa, hana huruma, hacheki na mtu na mambo kama hayo. Mbaya zaidi this time akatoa ahadi ya ngono na ulevi wa kupindukia huko mbinguni. Kwamba mbingu itakua imejaa madanguro na mito ya pombe, ni ulevi na kupigana miti tu.
Je, mungu kubadilika badilika kuhusu ahadi zake kwa binadamu ni kutokana na binadamu kutokumuelewa kwenye maagano ya zamani ama amegundua kua wanadamu wanapenda sana ngono hivyo kwenye last version yake ndio akawaahidi kua wakimtii watapewa hiyo zawadi?