Je, ni kwa nini Mungu aliamua kubadili ahadi yake kwa waumini wake kwenye Quran?

Utajuaje kama anachokisema nimeshakisikia chamsingi kwa sasa kila mtu abaki na Imani yake imani ni kila mtu anayake ndio maana tunatofautiana vipawa
Usishasema kila mtu abaki na imani yake hapo ndio tatizo lilipo. Hutaki kusikia usiyotaka kusikia. Unataka tu kusikia unayoyataka, yanayofurahisha nafsi yako ama yanayoendana na mtazamo wako bila kujali kama hayo usiyotaka kuyasikia ni ya kweli ama lah.

Na hapo ndio inakuja msingi kwamba dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Usishasema kila mtu abaki na imani yake hapo ndio tatizo lilipo. Hutaki kusikia usiyoyaka kusikia. Unataka tu kusikia unayoyataka, yanayofurahisha nafsi yako ama yanayoendana na mtazamo wako bila kujali kama hayo usiyotaka kuyasikia ni ya kweli ama lah.

Na hapo ndio inakuja msingi kwamba dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
Ndo hivyooo mkuu tusizozane sana weee subiri hao mabikra na mto wa pombe
 
Hiyo ni given mkuu mbinguni. Nitakunywa pombe, hizi Hennessy, Moet sijui Blue label zitanikoma.

Yaani itakua ni gambe, nyapu, gambe, nyapu, gambe nyapu milele na milele. Allahu Akbar
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani hiyo paragraph ya pili kutoka mwisho nimecheka kama mazuri
 
Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia.

Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran.

Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise ambayo mungu aliitoa kwa watu watakaokufa na kwenda mbinguni, maelekezo mengi yalikua centred kwa waisraeli na makabila yake, ni ahadi za mungu exclusively kwa waisraeli. Ahadi nyingine ilikua ni ujio wa masia. Pia kwenye agano la kale mungu alikua mkatili sana, mwenye hasira na asie na huruma, uki mess up umekwisha. No mercy.

Agano jipya akaja Bwana Yesu, yeye mafundisho yake 99.9% yalikua centred kwenye upendo, kupendana, kuhurumiana na pia ahadi ya waumini wake kwenda Mbinguni kumuona Mungu. Kuonyesha mungu anatupenda watu wake, anatujali, tutubu, tuombe toba, nk. Agano hili lilionyesha mungu kama aleijaa upendo, huruma na msamaha.

Mafundisho mengi kuhusu Mbinguni aliyatoa Bwana Paulo kwenye agano jipya na ahadi nyingi za mbinguni zinaongelea kuimba na kucheza na kufurahi na kufutwa machozi ya kupumzishwa na adha na madhira ya Duniani.

Ukija kwenye Quran, ama updated version ya Agano jipya unakutana na vituko kidogo, kwanza Mungu anaonekana yuko so frasturated, amechanganyikiwa, amevurugwa, hana huruma, hacheki na mtu na mambo kama hayo. Mbaya zaidi this time akatoa ahadi ya ngono na ulevi wa kupindukia huko mbinguni. Kwamba mbingu itakua imejaa madanguro na mito ya pombe, ni ulevi na kupigana miti tu.

Je, mungu kubadilika badilika kuhusu ahadi zake kwa binadamu ni kutokana na binadamu kutokumuelewa kwenye maagano ya zamani ama amegundua kua wanadamu wanapenda sana ngono hivyo kwenye last version yake ndio akawaahidi kua wakimtii watapewa hiyo zawadi?

hapa ndipo mazezeta wanapo nistaajabisha wewe qur'an unaijua au unabwabwaja vitu usiokua na elimu yake
unaloshangaza hujui unachosema huyo aliekuambia bible ni kitabu cha Mungu nani na ni mtumishi yupi wa Mungu alieshushiwa bible ili awaongoze watu kwa mungu. mkisha kula makande mnacheuwa hovyo tu wapi Mungu kashusha Agano jipya na la kale Mungu hana kitabu kinachoitwa agano jipya wala lakale na kinachokutieni Ujinga mwingi katika Masuala ya Mungu ni wahiribifu walio ipoteza Injili na Taurati katika lugha yake ya Asili ienee kwa watu waksome kwa lugha yake ya asili ili waielewe zaidi kama ilivyo hifadhiwa quran kwa lugha yake ya asili wewe unae kwenda kutazama tafsiri hutofaidi maana yake kuliko anae isoma nakuielewa kwa lugha yake ya asili na ndio maana umekuja na upuuzi usiokua na kifani
 
Aisee.

Kushushwa ndio maana yake nini mkuu?

Lugha ya asili maana yake nini? Huyo mungu ambae ameumba makabila yote, alishindwa nini kutoa kitabu cha kila kabila ama haelewi kabila lolote zaidi ya kiarabu?

Kwamba mungu anaamini quran isiposomwa kiarabu basi inapoteza maana yake ama dhana yake sio? Huyo ni mungu ana kibwengo? Maana kama binadamu tu, Isaack Newton ameandika kitabu chake cha physics kwa lugha ya Kirumi lakini hata ukitafsiri kijaluo maana yake ni ile ile, Allah yeye anaamini ukitafsiri kutabu chake kitapoteza maana, kwa maaana hiyo Newton ana akili kuliko Allah, sio?

Mnaosema allah alimshusia Mtume kitabu, alishusha kwenye mafurushi ama vilikua vinadondoka anaokota kimoja kimoja ama kuna winchi ilishusha kutoka mbinguni hadi kwa ntume ama ilikuaje? Original ya hivyo vitabu viko wapi? Vina handwriting ya mungu ama?

Ukisema kushushwa eti kilishushwa kwenye kichwa cha Mohamed ni ishara kwamba hamtumii akili kufikiri, mbatumia masa.buli.
 
Msikilize expert hapa akielezea na kwa maandiko. Mbinguni itakua ni sehemu ya show show, ni kupigana miti mwanzo mwisho, wanawake wazuri wazuri tu kila mtu anapewa 72. Mbinguni itakua ni madanguro kila kona.

Mimi mwenyewe natamani niende huko nikajipugie miti wanawake wazuri nitakaopewa. Mbinguni wanawake watanikoma.

Nakwambia utoe aya we unatoa video
Punguza kushabu bwashee
 
Deep down hizi mada huwa Ngumu sana bhasi tu,
Firstly nitadefend upande uliousodoa sana..
Umelipamba agano jipya ukaliwekea Tag ya wema na upendo lakini lakini potray yake si 100%
kwamba mafundisho ya yesu yana wema muda wote...

kufundisha mabavu..

soma luka 19:27-28
"Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Na alipokwisha kusema hayo, alitangulia mbele akipanda kwenda Yerusalemu"

kunywa Kileo na divai..
Mathayo 11:18-19
"Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo.Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake."
Kwa biblia alionyeshwa wapi anakunywa soma kisa cha harusi ya kana soma yohana 2:1-25..
DIVAI ni neno la kiswahili linalomaanisha kaa lugha ya Wenzetu wine na kwa lugha ya Wanywaji jamani Alcohol yaani kiswahili fasaha pombe....Kama Dompo,Na zingine
kwahyo yesu alipiga dompo pia
mbna wakristo Hamuitandiki hii kitu
 
Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia.

Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran.

Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise ambayo mungu aliitoa kwa watu watakaokufa na kwenda mbinguni, maelekezo mengi yalikua centred kwa waisraeli na makabila yake, ni ahadi za mungu exclusively kwa waisraeli. Ahadi nyingine ilikua ni ujio wa masia. Pia kwenye agano la kale mungu alikua mkatili sana, mwenye hasira na asie na huruma, uki mess up umekwisha. No mercy.

Agano jipya akaja Bwana Yesu, yeye mafundisho yake 99.9% yalikua centred kwenye upendo, kupendana, kuhurumiana na pia ahadi ya waumini wake kwenda Mbinguni kumuona Mungu. Kuonyesha mungu anatupenda watu wake, anatujali, tutubu, tuombe toba, nk. Agano hili lilionyesha mungu kama aleijaa upendo, huruma na msamaha.

Mafundisho mengi kuhusu Mbinguni aliyatoa Bwana Paulo kwenye agano jipya na ahadi nyingi za mbinguni zinaongelea kuimba na kucheza na kufurahi na kufutwa machozi ya kupumzishwa na adha na madhira ya Duniani.

Ukija kwenye Quran, ama updated version ya Agano jipya unakutana na vituko kidogo, kwanza Mungu anaonekana yuko so frasturated, amechanganyikiwa, amevurugwa, hana huruma, hacheki na mtu na mambo kama hayo. Mbaya zaidi this time akatoa ahadi ya ngono na ulevi wa kupindukia huko mbinguni. Kwamba mbingu itakua imejaa madanguro na mito ya pombe, ni ulevi na kupigana miti tu.

Je, mungu kubadilika badilika kuhusu ahadi zake kwa binadamu ni kutokana na binadamu kutokumuelewa kwenye maagano ya zamani ama amegundua kua wanadamu wanapenda sana ngono hivyo kwenye last version yake ndio akawaahidi kua wakimtii watapewa hiyo zawadi?
kwa ivo kwenye Q'RAN MUNGU kavurugwa na nini????....manake kama una maanisha kwamba MUNGU kama mandonga!!
 
[emoji848]
 
umechanganya mambo hapa umechanganya miungu wawili yaani Mungu Jehova na Mungu Allah
 
Unaweza kuniaminisha vipi kuwa "Quran ni updated version ya biblia????
 
Back
Top Bottom