InguMbMWaamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia.
Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran.
Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise ambayo mungu aliitoa kwa watu watakaokufa na kwenda mbinguni, maelekezo mengi yalikua centred kwa waisraeli na makabila yake, ni ahadi za mungu exclusively kwa waisraeli. Ahadi nyingine ilikua ni ujio wa masia. Pia kwenye agano la kale mungu alikua mkatili sana, mwenye hasira na asie na huruma, uki mess up umekwisha. No mercy.
Agano jipya akaja Bwana Yesu, yeye mafundisho yake 99.9% yalikua centred kwenye upendo, kupendana, kuhurumiana na pia ahadi ya waumini wake kwenda Mbinguni kumuona Mungu. Kuonyesha mungu anatupenda watu wake, anatujali, tutubu, tuombe toba, nk. Agano hili lilionyesha mungu kama aleijaa upendo, huruma na msamaha.
Mafundisho mengi kuhusu Mbinguni aliyatoa Bwana Paulo kwenye agano jipya na ahadi nyingi za mbinguni zinaongelea kuimba na kucheza na kufurahi na kufutwa machozi ya kupumzishwa na adha na madhira ya Duniani.
Ukija kwenye Quran, ama updated version ya Agano jipya unakutana na vituko kidogo, kwanza Mungu anaonekana yuko so frasturated, amechanganyikiwa, amevurugwa, hana huruma, hacheki na mtu na mambo kama hayo. Mbaya zaidi this time akatoa ahadi ya ngono na ulevi wa kupindukia huko mbinguni. Kwamba mbingu itakua imejaa madanguro na mito ya pombe, ni ulevi na kupigana miti tu.
Je, mungu kubadilika badilika kuhusu ahadi zake kwa binadamu ni kutokana na binadamu kutokumuelewa kwenye maagano ya zamani ama amegundua kua wanadamu wanapenda sana ngono hivyo kwenye last version yake ndio akawaahidi kua wakimtii watape
Mbinguni ni either MTU uende kwenye jahanam (full mateso) au peponi (starehe au kula Bata) ambayo ni raha ya milele. Raha ya milele ya kwenu ni kuimba kucheza na kufutwa machozi yaani hapo unahisi starehe imekamilika? Yaani leo ukiamua kufanya starehe kubwa utaimba nakucheza tu? Vilevile Jaribu tu kuimagine kumbi ya starehe hapa duniani isiyokuwa na wanawake inakuaje? Kwa waislamu peponi ni mahala pa starehe kweli kweli ndo maana kila starehe unayoifaham itapatikana huko na sio tu kuimba na kucheza tu.Waamini wa Quran wanaamini kwamba Quran ndio kitabu cha mwisho cha mwenyezi Mungu kwa watu hapa Duniani, kwamba Quran ni updated version ya Biblia.
Kwa msingi huo tukifuata mtiririko wa Vitabu vya Mungu, kuna agano la kale, agano jipya na Quran.
Ukisoma Agano la kale, hakuna concrete promise ambayo mungu aliitoa kwa watu watakaokufa na kwenda mbinguni, maelekezo mengi yalikua centred kwa waisraeli na makabila yake, ni ahadi za mungu exclusively kwa waisraeli. Ahadi nyingine ilikua ni ujio wa masia. Pia kwenye agano la kale mungu alikua mkatili sana, mwenye hasira na asie na huruma, uki mess up umekwisha. No mercy.
Agano jipya akaja Bwana Yesu, yeye mafundisho yake 99.9% yalikua centred kwenye upendo, kupendana, kuhurumiana na pia ahadi ya waumini wake kwenda Mbinguni kumuona Mungu. Kuonyesha mungu anatupenda watu wake, anatujali, tutubu, tuombe toba, nk. Agano hili lilionyesha mungu kama aleijaa upendo, huruma na msamaha.
Mafundisho mengi kuhusu Mbinguni aliyatoa Bwana Paulo kwenye agano jipya na ahadi nyingi za mbinguni zinaongelea kuimba na kucheza na kufurahi na kufutwa machozi ya kupumzishwa na adha na madhira ya Duniani.
Ukija kwenye Quran, ama updated version ya Agano jipya unakutana na vituko kidogo, kwanza Mungu anaonekana yuko so frasturated, amechanganyikiwa, amevurugwa, hana huruma, hacheki na mtu na mambo kama hayo. Mbaya zaidi this time akatoa ahadi ya ngono na ulevi wa kupindukia huko mbinguni. Kwamba mbingu itakua imejaa madanguro na mito ya pombe, ni ulevi na kupigana miti tu.
Je, mungu kubadilika badilika kuhusu ahadi zake kwa binadamu ni kutokana na binadamu kutokumuelewa kwenye maagano ya zamani ama amegundua kua wanadamu wanapenda sana ngono hivyo kwenye last version yake ndio akawaahidi kua wakimtii watapewa hiyo zawadi?
Usije sahau kufanya mapenzi pia ni moja ya starehe ambayo Mungu mwenyewe ameiumba na kuiridhia kufanyika hapa duniani ni jambo jema kwa ridhaa ya Mungu ( kwa mke na mme linakuwa tendo la ndoa)na linakuwa jambo baya kama ni kinyume cha ridhaa ya Mungu ( linaitwa ngono au umalaya), hivyo peponi itakuwa ni kwa ridhaa yake Muumba.
ila umetumia neno kupigana miti ili litafsirike vibaya. Pombe upande mmoja ni starehe na mwingine ni upuuzi. Upande wa upuuzi ndo unafanya ionekane haifai hapa duniani. Kama umeisoma quran vizuri utaona pombe inayoahidiwa hapo ni ile yenye starehe tu pasipoti na huo upuuzi. Mbali na mapenzi na pombe, M, Mungu ameahidi pia vyakula na vinywaji mbalimbali na kila ambacho binadamu atakitamani atakipata, ila umeweka pombe na mapenzi tu ( unaita ngono) ukiwa na malengo yako yaliiojificha.
M/Mungu ametuahidi kutupa raha ya milele kamili (full package) sio tu kuimba kucheza na kufutwa machozi bali pia kula kila aina ya chakula na vinywaji bora bila ya kikomo, kufanya mapenzi na wenza wenye thamani na viwango vya hali ya juu na kupewa kila tunachohitaji au kutamani kwa wakati. Ukisoma maandiko bila husda wala ushabiki utapata faida na m/Mungu atakuongoza katika njia iliyonyooka inshallah.