Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

United Imaging Healthcare

Shanghai United Imaging Healthcare Co., Ltd. is dedicated to providing, developing and producing high-performance advanced medical imaging, radiotherapy equipment, life science instruments and offers intelligent digital solutions to customers worldwide. UIH is committed to creating more value for our customers and constantly improving the global accessibility of high-end medical equipment and services through in-depth cooperation with hospitals, universities, research institutions, and industry partners.

 
Mkuu sio mbaya uweke link
 
Xingaoyi Medical Equipment

Xingaoyi Medical Equipment Co.,Ltd. is a National High-Tech enterprise, the annual production capacity of the company includes 200 units of Magnetic Resonance Imaging (MRI) systems, 100 units of Digital Radiography (DR) systems and 50 units of Digital Radiology Fluoroscopy (DRF) systems


 
Unaandika umbea. Peleka FB na Insta umbea wako. Hapa tunaongea facts
ukija hapa na thread usije kishabiki lete facts tukisoma tuone hujaweka interest zako upande fulan, otherwise tunaweka kwenye dust bin umbea wako uliokithiri
 
ukija hapa na thread usije kishabiki lete facts tukisoma tuone hujaweka interest zako upande fulan, otherwise tunaweka kwenye dust bin umbea wako uliokithiri
Acha hasira mzee. Wewe weka references kama ninavyofanya. Wewe mwenzetu unaandika maneno tupu tu hapa.
 
Mkuu sio mbaya uweke link
Ivi ninani hasa aliyekwambieni kila habari inakuja na link? Link ni kiunganishi kwenye mtandao wa computer au icho kimeo chako sasa kama habari zipo live kwenye television za kimataifa bado unataka link tu?

Mlisoma wapi habari kwanza chanzo cha habari kinatokana na link tu., em nenden shule kwanza msije hapa mukiwa ovyo namna hii
 
Upo kwenye siku zako au joto limekupanda ?
 
Mzee upo nyuma na dunia. Imekuacha. Kwahiyo unataka watu 24/7 waangalie TV? kuna mamilioni ya TV station duniani. Waangalie ipi?
Kama huna References ya kile unachodai wewe ni mbea tu
 
Naongela seafood hata kucommand mchezo huo tunaujua ,hawali nguruwe kama unavyojidanganya....Mara useme fish wale pawns nao utasemaje yale majongoo?

Usilazimishe kwa vile ukisema seafood ni pana ..
 
Wengi hawajui, wachina wana long term thinking, aina hii ya kupanga na kufikiria ni sehemu ya tamaduni yao kwa mda mrefu kiasi kwamba huwa wanafikiria hivyo by default

So hakuna wasichoweza kamilisha wakiamua kuweka jitihada, huwa nawashangaa watu wanaoyoifananisha Marekani na China.

Ukisoma Historia yao, kwa Maelfu na maelfu ya miaka Wachina walikua vinara kwenye biashara, teknolojia na uvumbuzi, ni karne ya 20 tu ndipo China ilipoanguka kwa kushindwa ku industrialized, hii tunachokiona sasa hivi ni China kurudi kwenye nafasi yake...

U.S ina miaka 200 tu na inaelekea ku collapse

China ni underrated sana, miaka ya 60 tu hapo, ilikua haina tofauti na nchi nyingi za Africa.

Kuhusu "hofu" yako, China sio imperial nation kama U.S na nchi nyingi za ulaya Magharibi, in fact ni nchi tu za Ulaya Magharibi na U.S zenye itikadi hii, Uchumi wao na standard of living ime base kwenye hio Mindset

China ina miaka zaidi ya 5000 kama taifa, sidhani kama iliwahi ku invade taifa jingine, mara nyingi huwa ni watu wa kujifungia

Wakati wazungu wapo kwenye dark age, Mchina kashagundua karatasi, gun powder, dira pamoja na meli kubwa

Anasafiri kufanya biashara, wazungu walikuja kutumia hivyo hivyo vitu baadae na vi meli vyao vidogo wakafanya uovu dunia nzima

Pia u communism ni aina ya ku organize working places, kinyume cha capitalism, sio aina ya ukoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…