Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Je, ni kweli Freeman Mbowe yupo Kazini?

Chadema iliundwa kama TAKWA la nchi za Magharibi kutaka Multipartism, hivyo Mchonga akamuita rafiki yake Nzee Ntei aunde chama, so cdm ni ccm B, naye akamkabidhi Uhuru mboe aliyemwaminifu kwa sisiem,
Uhuru ni wakala mtiifu, aliyekazini
 
Vijiwe vile hasa maeneo ya mijini,porojo za kupoteza muda uende ndiyo nyingi ila Kuna vi stories fulani hivi wakati mwingine vinakuaga ni kweli kabisa,kwa maana nilishaona baadhi...
 
Kwahiyo Jiwe a kaamua kumfilisi mtu waje wa kitengo[emoji848][emoji848]. Au alikuwa hajui kuwa yupo kwenye list ya POSHO
 
Hawakueleza yupo kwenye aina gani ya mission 1. Active mission 2. Inactive Mission? Na je kwenye mission perspective waliweza kueleza ni 1. Long term perspective with long effect au 2. Short term perspective with immediate effect?
Au waliielezeaje hiyo Mission iko katika sura gani hasa.
 
Kwahiyo Jiwe a kaamua kumfilisi mtu waje wa kitengo[emoji848][emoji848]. Au alikuwa hajui kuwa yupo kwenye list ya POSHO
Kuna mtu anauliza "Una uthibitisho gani kuwa alimfilisi?"

Anasema Tena, Je Kama nazo zilikua drama?
 
Ulimolaaaa

Ulimolaaaa!

Uwepo wako umesomeka vyema hasa kwenye lile wimbi jipya la wajumbe wapya wapya:

IMG_20210930_170407_550.jpg

Karibu mjumbe mpya wengi walijaribu ikiwamo kupima maji na hata kututoa kwenye reli.

Hata hivyo usiache kufikisha ujumbe:

IMG_20210930_170832_807.jpg

Mtamtapika Commando wetu akiwa hai.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Hawakueleza yupo kwenye aina gani ya mission 1. Active mission 2. Inactive Mission? Na je kwenye mission perspective waliweza kueleza ni 1. Long term perspective with long effect au 2. Short term perspective with immediate effect?
Au waliielezeaje hiyo Mission iko katika sura gani hasa.
Mkuu hayo hawakuyaeleza.. vipi unaweza kuchambua/kufafanua kwa manufaa ya wanajukwaa?
 
Uwepo wako umesomeka vyema hasa kwenye lile wimbi jipya la wajumbe wapya wapya:

View attachment 1958462

Karibu mjumbe mpya wengi walijaribu ikiwamo kupima maji na hata kututoa kwenye reli.

Hata hivyo usiache kufikisha ujumbe:

View attachment 1958466

Mtamtapika Commando wetu akiwa hai.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Ulimolaaaa!

Kuhusu mpiganaji wetu ML, tuko pamoja.

Hizo habari nyingine Ulimolaaaa???
 
Mbona alifungiwa acc zake mpaka akalazimika kuishi hotelini Dubai
 
MBOWE ni mpinzani halisi

Hata Mrema enzi za Nyerere wakati anachuana naye kupitia NCCR Mageuzi raia walimuona na kusema yeye ndiye mpinzani wa kweli bila kujua Mrema aliwahi kuwa sehemu ya Serikali ya Nyerere tena akiwa kiongozi wa idara nyeti hali iliyopelekea kuaminika na Nyerere na kupewa uwaziri!

Mrema hadi hivi sasa anakula posho za kitengo nyeti!
 
Sasa Kaka unataka nijitutumue niabikie? Heri kuwa mnyonge mwenye furaha kuliko Mbabe mwenye huzuni kakaangu.

Tujinyenyekeze, na kuchukuliana kwa undugu mara zote.

Asante
Usjali mkuu hii ndo jf yetu pendwa
...japo unaonekana mstaarabu sana
 
Back
Top Bottom