Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Wanauwa watoto, wamama, wazee, vijana halafu unasema wanapiga kwa kuchambua! Kama hujui si bora ukae utulie! Cnn na bbc zimewaharibu enyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma
sasa kama wanaolengwa wanajificha kwa watoto utaacha kulenga walikojificha? Inaitwa camouflage wanachofanya hamas ili wasitambuliwe
 
Endeleea kuumia roho, kipigo kitaendelea mpaka Hamas wamalizwe.
Bungo linatemwa kitaalamu sana awamu hii, Hamas washapata moto wao ndiyo kwanza wameanza kurudi nyuma.. wanakimbia Gaza moto unawaka.
 
Attachments

  • IMG_8711.jpeg
    IMG_8711.jpeg
    63.9 KB · Views: 3
Kihistoria Israel ni taifa la vita, wamepigana vita nyingi tu hivyo hakuna cha ajabu kuwa ilizikung'uta nchi za kiarabu kwa siku 6. Kama ambavyo inaweza kuuwa mahasimu wao walio Iran, Lebanon n.k na watu wakashangaa sana inawezekanaje.

Kwa taarifa tu bado kuna vita kubwa sana 2 ambapo katika vita mojawapo Israel itapigana na mataifa ya kiislamu na russia ikiwemo na mataifa mengine
Vilevile mfano Libya na sehemu kubwa tu ya nchi za afrika na still mataifa hayo yatashindwa so jiandae kushangaa na hii!!!
Kuna vita nyingine inakuja Israel itapambana na sehemu kubwa sana ya dunia jumuia ya ulaya ikiwemo na nchi za kiislamu zikiwemo russia, china na zingine zikiwemo na bado Israel itashinda na vita hii itachukua miaka 3.5 au zaidi sasa kama umeshangaa hii vita ambayo hata miezi 6 haijafika basi jiandae kushangaa na hii ya miaka 3.5 na pengine zaidi!
sio lazima kuwa eti kama vita hii ilichukua siku 6 basi vita nyingine ichukue siku fulani vita sio hesabu za cross multiplications. Ndo maana russia pamoja na nguvu kubwa ya kijeshi mpaka leo anastruggle huko ukraine.

MUHIMU Ikumbukwe kuwa katika vita hizi Mungu Yehova, Yesu ndiye msaada wa Isrrael kushinda na sio kwa nguvu zao wenyewe. Ikumbukwe pia kuwa ukiona Israel iko vitani mara nyingi jua ni vita kati ya Mungu na shetani.
Siyo kweli bil marekani Israel hatoboi
 
Watu ni kenge sana watu nna tabia ya kusahau, ndicho kinachowakuta waGaza sasa.

Hio vita Ya siku sita, hio misri alipoteza karibia wanajeshi 80,000 mpaka leo hana hamu Na myahudi. Tena raisi wa misri kipindi hicho aliamini kabisa israel haiwezi kufanya kitu, Gamal alijawa na kiburi sana

Kumbe mwenzetu ulikuwepo kwenye vita, hongera
 
Guerrilar war huwa ni mbaya zaidi kuliko vita ya face to face. Hamas wanapigana guerrilar war na hicho ndiicho kinampa shida Israel. Ni kama vita vya Chui, huwa ni vibaya zaidi kuliko vya Simba
kawaida Chui huwa anapigana vita ya kushtukiza halafu anakimbia mafichoni, Simba huwa anapigana vita ya face to face
Hakuna cha guerrilla wala nini israhell ilikua over-rated sana

Majamaa wanapiga hospital magari za wagonjwa shule halaf wanasingizia guerilla war

Israhell yakawaida sana ila ilikua over-rated mnooo
 
Vita kati ya jeshi rasmi na jeshi rasmi vinaweza kuwa na shabaha maalumu na mwenye nguvu akashinda. Hamas wanatambulika kama magaidi na si jeshi rasmi, miundombinu yao ni ya siri ya kujificha sana. Nadhani adui usiyemfahamu vizuri ni lazima iwe ngumu kupambana naye.
Kuna mifumo ya jeshi rasmi inayofahamika na jeshi jingine rasmi?? Hiyo vita nadhani isingeisha kamwe. Au wangekubaliana amani itawale tu kwa sababu wote wanajuana mifumo
 
Vita kati ya jeshi rasmi na jeshi rasmi vinaweza kuwa na shabaha maalumu na mwenye nguvu akashinda. Hamas wanatambulika kama magaidi na si jeshi rasmi, miundombinu yao ni ya siri ya kujificha sana. Nadhani adui usiyemfahamu vizuri ni lazima iwe ngumu kupambana naye.
Haya maneno matupu sijui hua munayapata wapi

Unadhani hizo kambi unazoziona hapo juu ndio unahisi ndio kilele kabisa kwamba watu wameridhika yaani wamejiachia hapo kambi zao zinajulikana hata vita ikizuka mtu anajua anapiga hapa na pale na pale anamaliza

Kama ingekua hivyo tusingekua na ukraine leo hii
 
maana biblia haijawahi ongopa na haitaongopa kamwe.
Mwinjilisti umewahi soma baibo?.

Yohana 14:9 “ ,,,,,,,,, Aliyeniona mimi amemwona Baba;…”

Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Hiv unajua vita ya kupigana live na vita ya kupigana na anaejificha nyuma ya watu mkuu. Ingekuwa ni live mbona zamani. Au ingekuwa ni kufagia bila kuangalia mtu mbona zamani kaka.
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
Israel ilipigana na conventional armies za Misri, Syria, Jordan ila Hamas sio conventional army yaani ni wapiganaji wa kuvizia tu tena wanaojichanganya na raia hivyo sio rahisi kuwafahamu.

Hamas wanapigana kwa kushambulia kwa kushtukiza na kutokomea kwenye mahandaki tofauti na majeshi kamili.
 
Hadi leo waarabu hawana kabisa hamu ya kupigana nao tena. Hao magaidi wa Hamas wanajitia tu kitanzi angalia Gaza imeisha kabisa sasa watatawala wapi sasa na Gaza hapata kalika tena.😛😛
 
Israel ilipigana na conventional armies za Misri, Syria, Jordan ila Hamas sio conventional army yaani ni wapiganaji wa kuvizia tu tena wanaojichanganya na raia hivyo sio rahisi kuwafahamu.

Hamas wanapigana kwa kushambulia kwa kushtukiza na kutokomea kwenye mahandaki tofauti na majeshi kamili.
Na kule Iraq walipigana vita gani kule ukraine napo
Ngoja kwanza na kule libya napo walipigana vita ipi
Kuna mchafuzi fulani hapa hua anataka assad awamalize waasi kumbe hua ngumu eeenh
Haya Taleban walipigana vita ipi nawao wale
Acheni janja janja
 
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948.

Israeli ilijengwa na muundo wake kuelekezwa na vita. Kila mzozo wa mapigano, makubwa na madogo, uliacha alama yake.

Lakini ni vita vifupi zaidi, vya Siku Sita vya Juni 1967, ambavyo vinaonekana kusikika zaidi kuliko vingine vyote.

Swali:-
Imekuwaje Israel imepoteza uwezo huo mbele ya Hamas, ili vita ya siku sita ni porojo tu na propaganda za Wazayuni?

Angalizo:-
Huu sio mjadala wa kidini.
jiulize kwann mlimpiga Idd Amin ila hamuez wamaliza Alshabab na mmeungana mataifa krb yote ya Afrika , ugaidi ni ngumu kuumaliza labda kama hutozingatia sheria za kimataifa kwa kiwango chini ya 0%
 
Hadi leo waarabu hawana kabisa hamu ya kupigana nao tena. Hao magaidi wa Hamas wanajitia tu kitanzi angalia Gaza imeisha kabisa sasa watatawala wapi sasa na Gaza hapata kalika tena.[emoji14][emoji14]
Hiroshima na Nagasaki panakalika seuze ghaza
 
Back
Top Bottom